Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kama unadhani swala la katiba mpya ni jambo binafsi la Mbowe na Chadema na kuonea huruma.
Katiba mpya ni utetezi wa wananchi na kutopatikana Kwake ni hasara kwa mwananchi
Kwa nini usianze weye kudai katiba mpya?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
Hata wewe msoga gang umechukiaKuna wanaharakati njaa kule Twita wamechukia sana kuona hizi picha😅
Kuna wanaharakati njaa kule Twita wamechukia sana kuona hizi picha😅
Tutakumbushia mkuu 'DURACEF', vyovyote na itakavyokuwa huko mbeleni.
NjaaaaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
Unaijua ulichoandika? Hopeless!Kwa nini babu hakunaza kudai uhuru wa Tanganyika akasubiri Nyerere kufanya hivyo?
Dogo huna hela ya pedi?Ma mdogo ombaomba🤣🤣🤣🤣
Dogo huna hela ya pedi?
Ninunulie mama mdogo wako pedi.Unataka nitembee navuja uji?Gunio!Ma mdogo ombaomba🤣🤣🤣🤣🤣
Wanatafuta pa kutokea. Karibu utasikia "Mama kanishauru Conv19......"Nadhani Mama anataka maelewano zaidi katika issue ya wale Covid 19 mjengoni.
Unaijua ulichoandika? Hopeless!
Ninunulie mama mdogo wako pedi.Unataka nitembee navuja uji?Gunio!
muongo - ushaelewa !!Sijaelewa
Amini kwambaDingi ametuangusha sana ma-hustler wa mtaa ingawa shutuma zako huenda si za kweli au zina ukweli
Kwa hiyo Mbowe ataanza kufidiwa zile kadhia zote kwa kodi ya wananchi wanyonge?