Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Madam rais, hii tone yake itamponzwa....anamuomba cag aongeze wigo?? Toa amri madam!
pia mambo ya kuanza kupongeza saa hizi sio mahala pake...unampongeza kufanya kazi yake?
 
Hivi lile gawio meko alikuwa anapata wapi kama miaka mitano shirika lilikuaa linapata hasara?
 
Mkurugenzi mkuu Bandari kasimamishwa kupisha uchunguzi
 
CAG aombwa kuwa wazi na sio kufichaficha mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…