Si lazima kupelekwa kama punda. Mbona anaeleweka? Unadhani CAG hajaelewa?Madam rais, hii tone yake itamponzwa....anamuomba cag aongeze wigo?? Toa amri madam!
pia mambo ya kuanza kupongeza saa hizi sio mahala pake...unampongeza kufanya kazi yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si lazima kupelekwa kama punda. Mbona anaeleweka? Unadhani CAG hajaelewa?Madam rais, hii tone yake itamponzwa....anamuomba cag aongeze wigo?? Toa amri madam!
pia mambo ya kuanza kupongeza saa hizi sio mahala pake...unampongeza kufanya kazi yake?
Kisu kinapenya mfupani polepolee😊Mama anatoa maagizo mazito halafu hafoki hatujazoeshwa hivyo.
Ni wazi hujawahi ona comments zangu humu na mlengo wangu, in the nutshell mie nilikua na niko na nitakua PRO JPM to the casket....Aliyekua anatoa amri, mlimuombea kifo, tutulie kidogo
Hatari mzee.!Kisu kinapenya mfupani polepolee[emoji4]
Ogopa sana mtu anakupa maagizo mazito huku anakubbeleza na sauti yake ya huruma...Mama anatoa maagizo mazito halafu hafoki hatujazoeshwa hivyo.
Cheki waliozoea kufokewa hawa[emoji23][emoji23][emoji23]Madam rais, hii tone yake itamponzwa....anamuomba cag aongeze wigo?? Toa amri madam!
pia mambo ya kuanza kupongeza saa hizi sio mahala pake...unampongeza kufanya kazi yake?
Aisee hata mimi leo namsikiliza rais bila kuogopa kusikia maneno kama unataka kupanuliwa kwa mbele au kwa nyumaHuyu ndie Rahis halali wa Tanzania sababu ni Mungu ndio kamweka hapo alipo.
Najisikia faraja sana kumsikiliza Madame President
Mbona wanyonge tulikuwa tunampongeza kiongozi wetu, kila siku.Madam rais, hii tone yake itamponzwa....anamuomba cag aongeze wigo?? Toa amri madam!
pia mambo ya kuanza kupongeza saa hizi sio mahala pake...unampongeza kufanya kazi yake?