Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Madam rais, hii tone yake itamponzwa....anamuomba cag aongeze wigo?? Toa amri madam!
pia mambo ya kuanza kupongeza saa hizi sio mahala pake...unampongeza kufanya kazi yake?
Si lazima kupelekwa kama punda. Mbona anaeleweka? Unadhani CAG hajaelewa?
 
Mh. Rais sasa naanza kukuelewa. Pita mule mule, upuuzi hatuutaki...weka legacy yako mama! Wasikufelishe watu kwenye kuweka legacy yako, hawawezi toa chunguza kama wanahusika waende mbele ya mahakama...
 
JPM alipoteza hela zetu bure kwenye midege hiyo. Inapokuja suala la kuwekeza lazima utofautishe hisia zako na biashara. JPM alioenda mindege.
JPM alipenda hii mindege bila kupembua na kujua kwa undani biashara ya mindege. Ilikuwa ni ngumu sana kumshauri JPM. Ila tumsamehe bilioni 60 zilishakatika.
 
Madam rais, hii tone yake itamponzwa....anamuomba cag aongeze wigo?? Toa amri madam!
pia mambo ya kuanza kupongeza saa hizi sio mahala pake...unampongeza kufanya kazi yake?
Cheki waliozoea kufokewa hawa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madam rais, hii tone yake itamponzwa....anamuomba cag aongeze wigo?? Toa amri madam!
pia mambo ya kuanza kupongeza saa hizi sio mahala pake...unampongeza kufanya kazi yake?
Mbona wanyonge tulikuwa tunampongeza kiongozi wetu, kila siku.
 
Back
Top Bottom