Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Hahaaaaaa, wanyonge na wao walizidi kuuliza vitu vya kijinga. Hadi choo unataka Rais akusaidie?
Kuuliza sio ujinga, mzee wa watu aliuliza swali lenye mantiki, unamtukana mzee wako ambaye ni kama baba yako, my friend hutaishi duniani for that long kwa staili hio. anyway yuko wapi saivi..apumzike kwa mateso aaah sore kwa amani.
 
Huyu Jafo ana bahati sana leo, ila ngoja tuone ndo kwanza kazi imeanza.. Mama SSH tupa kule wanafiki wote wasiofanya kazi kwa uweledi. Wamebaki kujipendekeza tu.
 
Rais ameagiza kesi zisizokuwa na msingi zifutwe.

je, mfano wa kesi zisizokuwa na baseline kwa wakati huu ni zipi?
 
Hatujazoea Rais kutoa maagizo kwa kubembeleza hivi. Yani mpaka imenibidi kurudia kutazama hotuba za zamani za JPM ili kupata mzuka. Mama aongeze ukali la sivyo shamba linaenda kuwa nyumba ya manyani.
Acha kumpangia.....
Anao ufanya ni ubinaadamu....usitake turudi kule kwa hayati kwenye kudhalilishana. Mfano: Baki na mavi yako
 
Rais ameagiza kesi zisizokuwa na msingi zifutwe.

je, mfano wa kesi zisizokuwa na baseline kwa wakati huu ni zipi?
Hapo moja kwa moja wamelengwa kina Seti na Rugemalila.

Hii ni kawaida sana kila kiongozi akiingia madarakani kuachana na watuhumiwa sugu wa awamu iliyopita mfano JK vs Babu seya alivoingia JPM akawaacha huru

Hivyo huyu maza nae atawaachia huru hao kina Seti na Rugemalila lakini nae pia atakuwa na watuhumiwa wake wa kudumu refer hapo kashatoa maagizo ya kufatilia pesa za BoT tangu January maana yake hapo tayari kuna watu wanalengwa
 
Minong'ongo mitaani ni kwamba Kuna kiasi kikubwa cha pesa kimechotwa ndani ya kipindi hicho na matumizi yake hayako bayana

Kwa agizo la Madam President, anataka kujiridhisha minong'ongo hiyo? Au anataka kupata uhalali wa kushughulika na waliohusika? Tusubiri muda, siku hazigandi
 
Back
Top Bottom