Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

ATCL wajitadhimini.naona dalili za kufa kwa hili shirika.mwenye shirika ndo hayupo tena,sidhani Kama hili shirika litachukua hata 3yrs,katika miradi ambayo jpm aliifufua,ATCL itakuwa ndo 1st ku collapse.
Nilishawahi kwenda ofisi za airtTanzania dar es salaam saa mbili kasoro nikakuta wamefunga tayari

Walikuwa na nyodoo sana
 
kwakweli ni yaleyale waliyokuwa wanalalama watu, ivi iyo report angekuwa anaipokea hayati iyo hasara kwenye shirika la ATCL, CAG angeitaji kweli
MEKO alikuwa anasema kwamba Shirika linatengeneza faida ,nakumbuka alisema live kabisa,na katika kipindi chake ATCL haikuwepo kwenye ripoti ya CAG iliondolewa baada ya ile ya Prof Assad kutoa hasara ya bilioni 200.
 
Nishakula supu heavy weight ya utumbo sasa nipo mbele ya runinga yangu nashia k vant kubwa na sprite huku namgoja mama kwa hamu ,. R.i.p.Magufuli
Hahaha mkuu, kama tuliambizana hivi...

Nmewahi supu ya mbuzi, sasa tupo na li-konyagi hapa...tunaburudika kumoyo....

Tunasema mitano tena kwa mama
 
Kwa nini Precision airways ilikuwa inaweza kujiendesha kwa faida lakini ili la serikali pamoja na kupata support kubwa ya serikali bado linalamba hasara?
 
Kila lenye kheri mama Samia,mimi nasubiri kufahamu jina la makamu wako,hapo nitaanza kuona kidogo wewe unataka kutawala au kuongoza?Maana Magufuli alikuchagua wewe mwanamke alijua anakutawala ndo maana mwanzoni ulikiri kuwa aliwanyoosha.
Yes alimuweka as skeleton tu hawakujua mipango ya Mungu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
ATCL wajitadhimini.naona dalili za kufa kwa hili shirika.mwenye shirika ndo hayupo tena,sidhani Kama hili shirika litachukua hata 3yrs,katika miradi ambayo jpm aliifufua,ATCL itakuwa ndo 1st ku collapse.
Wachawi kama kawaida.
 
MEKO alikuwa anasema kwamba Shirika linatengeneza faida ,nakumbuka alisema live kabisa,na katika kipindi chake ATCL haikuwepo kwenye ripoti ya CAG iliondolewa baada ya ile ya Prof Assad kutoa hasara ya bilioni 200.
Meko alikuwa muongo pamoja na serikali yake yote, sikuwahi kuiamini hata siku moja
 
Meneja na board lazima watoe maelezo ya kina au wabwage manyanga na matumizi ya ili shirika ya chungunzwe!!
 
-Ni kampuni ipi ya usafirishaji duniani imepata faida kipindi hiki cha corona??
-usitegemee pia unaanza tu uwekezaji mkubwa alafu unapata faida wakati tayari kuna washindani wako ambao walishajiimarisha....
Ni common sense tu wala haihitaji uwe umesomea uchumi...hata mmachinga anaielewa hii logic..
Ila kasema imekuwa ikiendwshwa kwa hasara miaka mitano nyuma
 
-Ni kampuni ipi ya usafirishaji duniani imepata faida kipindi hiki cha corona??
-usitegemee pia unaanza tu uwekezaji mkubwa alafu unapata faida wakati tayari kuna washindani wako ambao walishajiimarisha....
Ni common sense tu wala haihitaji uwe umesomea uchumi...hata mmachinga anaielewa hii logic..
Kaaa kimya kama hauna la maana
 
Ni Ikulu jijini Dodoma.

Wageni wahusika tayari wako ukumbini wakisubiri maelekezo kwa mujibu wa ratiba.

Tukio litarushwa mubashara na local channels zote.

Updates;
Naomba kujua kisasi cha faida tulichopata kama faida kupitia ATCL.
ni hayo tu kwa sasa
 
Yani nakwambia meko tutamsagia kunguni hadi wasaidizi wake wale wa kimataga mataga watueleze walikuwa wanashangilia nini. Yani anaitia nchi hasara halafu anavunga. Mungu katufunua aisee.
 
Kwa nini Precision airways ilikuwa inaweza kujiendesha kwa faida lakini ili la serikali pamoja na kupata support kubwa ya serikali bado linalamba hasara?
kwa sababu walikuwa wanafanya kazi kitaalamu siyo kisiasa

Walikuwa wanafanya kazi kupata faida na siyo cheap popularity...kutoka kwa wanyonge....
Kuna wanyonge nipo nao hapa wamekaa kimya kimyaa..Kama maji ya mtungini maana walishabikia Sana Mibombadia.
 
Back
Top Bottom