Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

hiyo 60b ni mwaka mmoja
-Ni kampuni ipi ya usafirishaji duniani imepata faida kipindi hiki cha corona??
-usitegemee pia unaanza tu uwekezaji mkubwa alafu unapata faida wakati tayari kuna washindani wako ambao walishajiimarisha....
Ni common sense tu wala haihitaji uwe umesomea uchumi...hata mmachinga anaielewa hii logic..
 
Bado Sina Imani na CAG...

Kuna Mambo tunafichwa ...im sure hasara ya Atcl Ni kubwa zaidi ya hiyo.....
Tuanzia hapa international trips zilizofanywa na ndege za Atcl Ni ngapi?
Safari za ndani ngapi?

CAG Ni Assad ...
Bring back assad
 
Air Tanzania nakupendaa kwa moyo wote
 
Amini usiamini, Haki inaleta hofu kwa waovu.

Mfano mzuri ni hii leo kupitia tukio hili la Mh. Rais kukabidhiwa Taarifa kutoka kwa CAG na TAKUKURU. Yaani wanaosoma taarifa wamepatwa kigugumizi cha ghafla kiasi kwamba wanashindwa kusoma vizuri taarifa.

Inaonekana haya maripoti kama yamepikwa hivi, walitegemea watawasilisha kwa JPM lakini sasa imekuwa tofauti.



Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom