Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Angalau yaliyokua yanaogopa kusemwa yanasemwa..
 
kwakweli ni yaleyale waliyokuwa wanalalama watu, ivi iyo report angekuwa anaipokea hayati iyo hasara kwenye shirika la ATCL, CAG angeitaji kweli
Nataka kuamini kwamba ingetajwa.

Labda CAG alikuwa ameshaiandaa kabla hata ya msiba so, ingesemwa!
 
Back
Top Bottom