Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Vipi yule aliyemkula mke wa niki wa pili, bado tu hajaresign🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣 yani hela zetu ndo anaenda kufanyia umalaya huko ufaransa??? Inauma alafu bado yupo madarakani🤪🤪

Hivi ni kweli Majalala alimla mke wa Niki au Kigogo alitaka kumuumiza tu kihisia? Maana nikimuona Prof Majalala na kale Kabinti yaani sioni sehemu gani walikutana.
 
Haya sasa wale wazee wa KAZI INAONEKANA waje watuambie miaka mitano EITISIELI IMEKULA ZAHANATI NGAPI. MWAKA HUU PEKEE KITU KIMEGONGA BILIONI 60

Eti hongera JPM kazi inaonekana. Pumbavu zenu tunawaambia hata hilo li SGR ni ujinga mtupu mnaleta ujuaji.
 
Billion 60, ni nyingi sana...halafu kwa miaka mitano mfululizo inatumia kodi zetu.

Inabidi Mh Samia S. H afanye maamuzi ya kuvunja hilo shirika ,ni hasara sana kwa taifa kuendelea kukaa nalo ,Madege yauzwe au yakodishwe,wafanyakazi wapelekwe kwenye mashirika mengine ya serikali.

Nakumbuka ripoti ya Prof Assad ya mwisho tulikuwa tunaingia hasara ya zaidi ya bilioni 200.
 
Back
Top Bottom