Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Hii kasema nani???Hasara kwa ndege ni bilioni 90. haaa haaa tuliwaambia hamkusikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kasema nani???Hasara kwa ndege ni bilioni 90. haaa haaa tuliwaambia hamkusikia
Vipi yule aliyemkula mke wa niki wa pili, bado tu hajaresign🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣 yani hela zetu ndo anaenda kufanyia umalaya huko ufaransa??? Inauma alafu bado yupo madarakani🤪🤪
Mwaka huu wa fedha tu mkuuShirika la ndege limetengeneza hasara ya shilingi Bilioni 60 mpaka sasa[emoji44]
CAG mbele ya rais SamiaHii kasema nani???
Hajiamini kabisaaaCAG mbona kama anaogopa ogopa
Hatari sana sana sanaShirika LA ndege limetengeneza hasara ya billion 60 mwaka huu na miaka mitano iliyopita/CAG
TwafwaaaaMwaka huu wa fedha tu mkuu
Ni hatari sana aiseee.Nimeshangaa!!
Billion 60, ni nyingi sana...halafu kwa miaka mitano mfululizo inatumia kodi zetu.
CAG huenda alijua itaenda report kwa JPMsijui iyo report kapika uongo, maana anashikwa na kigugumizi,
Kasema CAG just nowHii kasema nani???
Kasema 60B mkuuCAG mbele ya rais Samia