Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Weka orodha ya wanadhirifu ili tuone Kama wataswekwa lupango au watabaki wakila Bata mitaani.Tunataka kuona wabadhirifu wakiswekwa lupango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka orodha ya wanadhirifu ili tuone Kama wataswekwa lupango au watabaki wakila Bata mitaani.Tunataka kuona wabadhirifu wakiswekwa lupango
kivip mkuuyupo kadhibitiwa
sijui iyo report kapika uongo, maana anashikwa na kigugumizi,Naona CAG ameanza kujing'atang'ata mapema kabuisa[emoji3], Rais usimuangalie mtu usoni. Leo onesha makali yako.
Napendekeza ungeanza na CAG mwenyewe
Wanaitwa nyumbu pingapinga Fc hao.Angesema tukio halionyeshwi, ungelaumu kuwa anafanya siri kama kipindi kile kwenye issue ya bunge. Haya wameamua kuweka live bado unalalamika. Acha tabia za kilala hoi.
manunuzi ya ndege yalihamishiwa ikuluATCL imekaguliwa. Kuna watu walisema eti taasis hiyo haitokaguliwa Kwame.
yani ni mambo ya ajabu kwelisijui iyo report kapika uongo, maana anashikwa na kigugumizi,
Sio sasa kiongoz....sasa ni mwendo wa kupiga pesa ya serikal had akili iwakae sawa wale wote waliomchukia magufuli..hatuachi kitu *****.Hatua ziwe zinachukuliwa kwa wale wanaobainika kufanya ubadhirifu siyo kupokea tu taarifa halafu inafungiwa kabatini inakuwa haisaidii
hapo sawaOKW BOBAN SUNZU
PAC na LAC zote wenyeviti wake wanatokea CCM
njoo Azam UTVSauti channel zote leo zina mwangwi