guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama tutakaa tumpate Rais kama Jiwe. Daaah hivi ni kweli tunaongelea historia yake au naota?Punguza mukari,usije regreat baadae,mimi namtakia kila lenye kheri mama Samia. Ila sitaki kuweka imani kwake kwa sasa.
Tulia w mjingaNina raha mie. Mimi ni nani nisiangalie Tibisii leo? Sina namna maana ndiyo pekee ipo kwa king'amuzi changu.
Ila Jiwe alikuwa ametuchosha jamani jamani jamani. Siamini kama kweli Mungu ametuinua kiasi hicho!
Yule kaambiwa aandike barua ya ku resignVipi yule aliyemkula mke wa niki wa pili, bado tu hajaresign🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣 yani hela zetu ndo anaenda kufanyia umalaya huko ufaransa??? Inauma alafu bado yupo madarakani🤪🤪
Nina raha mie. Mimi ni nani nisiangalie Tibisii leo? Sina namna maana ndiyo pekee ipo kwa king'amuzi changu.
Ila Jiwe alikuwa ametuchosha jamani jamani jamani. Siamini kama kweli Mungu ametuinua kiasi hicho!
Nani huyo [emoji23]? Daaah na kwa jinsi mabavyo nikki wa pili anapenda kumsifia mke wake kuwa ni msom mwenye akili, sijui alijisikiaje kama ni kweli[emoji3].Vipi yule aliyemkula mke wa niki wa pili, bado tu hajaresign[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani hela zetu ndo anaenda kufanyia umalaya huko ufaransa??? Inauma alafu bado yupo madarakani[emoji2957][emoji2957]
Tatizo la huyu CAG ni pro meko sanaa.Taarifa za nyuma ila PCCB na CAG wana kazi ya kufanya maana Bado mijizi ipo sana audit ifanyike sekta zote za Serikali kubaini mijizi na loopholes zote
Tatizo ni kwamba mama hana hata 70% control ya nani awe VP. CC ya CCM watampangiaKila lenye kheri mama Samia,mimi nasubiri kufahamu jina la makamu wako,hapo nitaanza kuona kidogo wewe unataka kutawala au kuongoza?Maana Magufuli alikuchagua wewe mwanamke alijua anakutawala ndo maana mwanzoni ulikiri kuwa aliwanyoosha.
Prf majalalaNani huyo [emoji23]? Daaah na kwa jinsi mabavyo nikki wa pili anapenda kumsifia mke wake kuwa ni msom mwenye akili, sijui alijisikiaje kama ni kweli[emoji3].
Mataga mshaanzaSafi sana Mh Samia Suluhu Hassan kazikazi. Jamani tumpe mitano tena mama Samia. Tuandae maandamano ya kumuongezea miaka.
Walishamuandalia mekoMbona mabango mengi,hii ripoti itakuwa safi tu hakuna madudu
Nishatulia mkuu. Pole maana nimetia spirit kwa donda lako. Jikaze maana hakuna namna sasaTulia w mjinga
Unataka awekwe pro nani?Tatizo la huyu CAG ni pro meko sanaa.
Kwa leo ukumbi unavumilika sana.Hivi aliedesgn huo ukumbi alikuwa amekunywa nini..😅 Bora wangekopi Kama ule wa dalechalamu!