Ikulu, Dodoma: Rais Samia awaapisha Viongozi Wateule - Januari 10, 2022

Ikulu, Dodoma: Rais Samia awaapisha Viongozi Wateule - Januari 10, 2022

Afanye re-shuffle, amrudishe Mohammed Mchengerwa utumishi
hata mm nimeshtushwa sana kuondolewa kwenye hiyo nafasi.mchengelwa alikuwa mcha Mungu na alikuwa anajitahidi sana kuwapigania watumishi lkn kupelekwa jenista kwenye wizara ile ni kipigo kikubwa kwa watumishi.huyu mama alishupalia sana kikotoo.mchengelwa alijitahidi kutengeneza mifumo ambayo itakuwa inaongea yenyewe lkn kabla hajamaliza kazi hiyo kaondolewa na sijui kama huyu mama ataiendeleza hiyo mifumo.kwa kweli watumishi inabidi wapaze sauti kupinga uteuzi wa huyo mama kwenye wizara hiyo,
 
Back
Top Bottom