Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,006
- 9,542
Una uhakika na unachokisema au umekurupuka tu.Kumbuka hao ni watanzania wenzetu nasio watanganyika sijui wa nchi ya wapi. Unataka kusema CHADEMA ikichukua dola hamna kufa au sio..Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30
Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika?
RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
Gentleman,Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30
Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika?
RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
akili yote kwa Bonge wa ZimbabweHata hajui kama kuna ajali
Chivayo kafa taarifa imetoka! Wamekufa wenzetu 31 kimyaaa! Mungu yupo lakiniUna uhakika na unachokisema au umekurupuka tu.Kumbuka hao ni watanzania wenzetu nasio watanganyika sijui wa nchi ya wapi. Unataka kusema CHADEMA ikichukua dola hamna kufa au sio..
Kufa kupo pale pale ila matendo ya matukio lazima yawe tofauti.CHADEMA siyo Mungu,SAMIA siyo Mungu,CCM siyo Mungu,IGP siyo Mungu,Mkuu wa Majeshi siyo Mungu pia.Tujitafakari tunapokuwa kwenye nafasi muhumu za kutumikia watu.Asante.Una uhakika na unachokisema au umekurupuka tu.Kumbuka hao ni watanzania wenzetu nasio watanganyika sijui wa nchi ya wapi. Unataka kusema CHADEMA ikichukua dola hamna kufa au sio..
Waliokufa na majeruhi ni Watanganyika sio wa upande uleJana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30
Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika?
RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
Walizotoa kwa familia ya Chivayo zinatosha.Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30
Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika?
RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
Ila msiba wa Chivayo, kiguu na njia na kodi zetu zikamika kwenye urafiki wake binafsi na marehemu.Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30
Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika?
RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
Mama yupo kwa CHIVAYo.Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30
Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika?
RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
Wewe MkuuIkulu ipo Eda. Baada ya huu utawala naamini hata CCM wenyewe wataona haja ya kuwa na katiba mpya
Anafanyaje Huko MbaliMama yupo kwa CHIVAYo.
πππππ πππ€£πIla msiba wa Chivayo, kiguu na njia na kodi zetu zikamika kwenye urafiki wake binafsi na marehemu.
Beste yake yule.Anafanyaje Huko Mbali