SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
deni letu na serikali ni maendeleo ambayo wameshindwa kuyaleta, hayo mengine si lazima...
Wako busy na msiba wa Chivayo so watanganyika hawana thamani kama yake.Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30
Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika?
RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
Juzi tu ndege aina ya Embraer imepata ajali baada ya kugongana na punda milia Serengeti ikatua bila matairi KIA, na watu karibu 30 kunusurika, kimyaaa.Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30
Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika?
RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
Una uhakika na unachokisema au umekurupuka tu.Kumbuka hao ni watanzania wenzetu nasio watanganyika sijui wa nchi ya wapi. Unataka kusema CHADEMA ikichukua dola hamna kufa au sio..
Msimsumbue mwenye Ikulu, yuko msibani Harare!Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30
Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika?
RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30
Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika?
RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
Kosa ni malezi ili linakusumbua sana..Siku ukipata watoto jaribu sana waombe majirani wakuleleeAcha upumbavu
Nakubaliana na wewe lakini ata usipokua na nafasi ya juu ila unayo nafasi basi fanya yanayotakiwa na kumpendeza Mungu.Kufa kupo pale pale ila matendo ya matukio lazima yawe tofauti.CHADEMA siyo Mungu,SAMIA siyo Mungu,CCM siyo Mungu,IGP siyo Mungu,Mkuu wa Majeshi siyo Mungu pia.Tujitafakari tunapokuwa kwenye nafasi muhumu za kutumikia watu.Asante.
Kimya kipo wapi ndugu,tatizo msipokua na taarifa sahihi mnafikiri basi taarifa sahihi ndiyo hizo.Mbona tayari rambirambi zimetoka mapema au ndugu unataka kutumiwa inboxChivayo kafa taarifa imetoka! Wamekufa wenzetu 31 kimyaaa! Mungu yupo lakini
Kama mtu alitoa amri wakauwawa watu zaidi ya 500 Oktoba 29, 2025 kwa mujibu wa Jaji Chande, hao 30 wa ajali ya Moro kwake siyo kitu. PoleniJana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30
Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika?
RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
Semaji la ikulu lipo kimya nowadaysJana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30