IKULU hamna taarifa ya pole ya MSIBA mkubwa ajali MOROGORO! Je Tueleweje

Wako busy na msiba wa Chivayo so watanganyika hawana thamani kama yake.
 
Juzi tu ndege aina ya Embraer imepata ajali baada ya kugongana na punda milia Serengeti ikatua bila matairi KIA, na watu karibu 30 kunusurika, kimyaaa.
 
Msimsumbue mwenye Ikulu, yuko msibani Harare!
 
Mimi naperuzi sana sanaa mitandao mfano NAIRALAND ya Nigeria misiba ikitokea lazima serikali itoe tamko

NB. Tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mama Samia katoa salamu za pole
 
Kufa kupo pale pale ila matendo ya matukio lazima yawe tofauti.CHADEMA siyo Mungu,SAMIA siyo Mungu,CCM siyo Mungu,IGP siyo Mungu,Mkuu wa Majeshi siyo Mungu pia.Tujitafakari tunapokuwa kwenye nafasi muhumu za kutumikia watu.Asante.
Nakubaliana na wewe lakini ata usipokua na nafasi ya juu ila unayo nafasi basi fanya yanayotakiwa na kumpendeza Mungu.
 
Chivayo kafa taarifa imetoka! Wamekufa wenzetu 31 kimyaaa! Mungu yupo lakini
Kimya kipo wapi ndugu,tatizo msipokua na taarifa sahihi mnafikiri basi taarifa sahihi ndiyo hizo.Mbona tayari rambirambi zimetoka mapema au ndugu unataka kutumiwa inbox
 
Kama mtu alitoa amri wakauwawa watu zaidi ya 500 Oktoba 29, 2025 kwa mujibu wa Jaji Chande, hao 30 wa ajali ya Moro kwake siyo kitu. Poleni
 
Semaji la ikulu lipo kimya nowadays
 
Awamu hii tumeona mengi sana,
Urais ni taasisi nyeti sana, inahitaji watu wenye IQ kubwa kama Magufuli,
Sasa hivi bora liende tu, sidhani kama kutakuwa na maendeleo makubwa awamu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…