Ikulu iliyo ndani ya Ikulu ina mfalme aliye juu ya mfalme wetu

Ukiona nchi ina raslimali za kila aina na watu wa kutosha wenye elimu za kila namna.
Elimu inayoishia Kulumbana, Kusifu na Kuabudu miungu mbali mbali

Lakini hawezi kusimamia raslimali zao wenyewe kiasi cha kujiletea maendeleo yao ya kijamii.

Huku kukigubigwa na ulaji uliokithiri wa mali za uma unaofanywa wenye dhamana za kitaifa, bila kuchukuliwa hatua stahiki kila kukicha.

Huku hiyo nchi ikikiri kuwa haiwezi kusimamia uendeshaji wa miradi yake ya kiuchumi.

Ujue kuna Mfalme........ndani ya Ufalme wa Kichifu wa hiyo nchi.
 
Una maana Bandari yetu imeuzwa na Ikulu iliyo ndani ya Ikulu siyo.
Haya mambo ni kweli yapo Nchini
Mfano mdogo tu Dodoma Makao Makuu ya Nchi
Katokea Mkurugenza Mkataba kuwanyanganya Wazee wastaafu maeneo Yao Matuli na Ndachi kupitia mkataba kuwekwa asilimia30 Jiji lichukue Eneo mwisho wa siku kawanyanganya Eneo lote kwakusema limevamiwa hivyo Wazee wastaafu watatafutiwa Eneo linguine

Yote hii ni ujanja ujanja wa Mikataba



Mfa
 
Duuu hatari Sana hii
 
Ni hatari Sana hii
 
Mwalimu Makungu, elimu, ufahamu wako wa historia na mambo mengine umeyahifadhi vizuri kwa ajili ya matumizi yenye manufaa wakati unaofaa. Leo umeonesha hifadhi yako. Tunakushukuru sana kwa kutufunulia hekima iliyopo kwa kutumia historia na hali halisi inayotawala dunia kwa sasa. Shukran sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…