Sweya Makungu
JF-Expert Member
- Jun 11, 2023
- 508
- 601
- Thread starter
- #41
Ahsante Sana ndugu yangu Peter . Ni muhimu tukumbushane maarifa haya ili kuokoa vizazi vyetu vinavyokuja.Mwalimu Makungu, elimu, ufahamu wako wa historia na mambo mengine umeyahifadhi vizuri kwa ajili ya matumizi yenye manufaa wakati unaofaa. Leo umeonesha hifadhi yako. Tunakushukuru sana kwa kutufunulia hekima iliyopo kwa kutumia historia na hali halisi inayotawala dunia kwa sasa. Shukran sana.