Ikulu iliyo ndani ya Ikulu ina mfalme aliye juu ya mfalme wetu

Ahsante Sana ndugu yangu Peter . Ni muhimu tukumbushane maarifa haya ili kuokoa vizazi vyetu vinavyokuja.
 
Ubarikiwe Sana
 
Tanzania yenyewe imelaaniwa pekee
Tanzania haijalaaniwa ila Watanzania wanaingia kwenye siasa kwa kuwa "madaraka ya kisiasa (political power)" huwafanya wajione wanajua kila kitu hata kama walikuwa masikini wa hali (akili) na mali (utajiri). Madaraka hayo yanawapa hali (akili) bandia na utajiri usio wa jasho leo. Km Wabunge hutetea maslahi yao, kwa nguvu, kuliko kero za maendeleo ya waliowapa kura.
 
Kabisa
 
Hatari sana mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…