Ikulu imefanikiwa kudhibiti kabisa uvujaji wa taarifa zote nyeti na za siri

Zilikua ni habari za uwongo Ili wapate 'tundu'lao
Mdomo huumba.

Mwanzoni mwa mwaka huu kijana mmoja alipiga simu kwa Supervior wake wa idara kumjulisha kuwa "hataingia kazini kwa sababu amepata ajali ya bodaboda"
Na haikuwa kweli alitengeneza sababu ya uongo ili tu asiende kazini,
Baada ya miezi kadhaa kupita usiku wa July 9 akiwa anatoka kazini kwa usafiri wa bodaboda wakiwa wamepakiwa mtungo walipata ajali na alifariki yeye peke yake.

Mdomo huumba.
 
Mdomo hauumbi,kazi ya ukachero ina mengi
 
Kwa hili naungana na wewe kabisa...Safari hii wamelamba hola...Ahsanteni sana askari in and un combat...Mmetisha!
 
Acha hasira, kaanze upya😂
 
Huyu mama mtamuua kwa stress, sijaona comment nzuri humu.
 
Nchi ambayo sera yake kila siku ni matukio ya kuwadistract watu wake.
 
Kama Taharifa za nchi kama China zinavuja sembuse TZ..

Wamkamate kwanza kigogo ndio nitaamini Tuna ulinzi wa kutosha..

Acheni BLAH! BLAH!
 

Kweli sisi ni special specie wandugu, yani chawa bila aibu unakuja kujivunia kabisa wanasiasa na waajiriwa wa wananchi kufichwa taarifa? Watu wanataka uwazi na hata hao unaowasifia wanajisifia wana uwazi japo ni uongo. Aisee...

Nisijekufuru nchi ya baba na mama yangu ilipofikia nijinyamazie tu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…