Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Imagine,yaani watu wanachukulia poa sana hio nafasi
Ni ngumu lakini watu wanapigana vikumbo mpaka kuua watu ili waipate.
Na wakiipata wanatumia nguvu kubwa sana kuilinda.
Magu alisema ni ngumu, lakini kila aliyekuwa anaonesha dalili ya kuitaka alipata tabu.