IKULU, inakuwaje Rais anasimama upande wa kushoto halafu Dangote kulia? Hamna watu wa Protocol?

yaani watu wanachukulia poa sana hio nafasi
Imagine,

Ni ngumu lakini watu wanapigana vikumbo mpaka kuua watu ili waipate.

Na wakiipata wanatumia nguvu kubwa sana kuilinda.

Magu alisema ni ngumu, lakini kila aliyekuwa anaonesha dalili ya kuitaka alipata tabu.
 
Yaani tukiona tz inakuwa karibu na walioendelea tunawaza kuibiwa na si kunufaika.
Kunufaika gani huko kila siku sisi ndio tunabaki maskini ?????

Ni lini sisi tutakuwa ma foreign investors kwenye mataifa ya wengine ?

Na ni lini Watanzania watakuwa wawekezaji kwenye nchi yao wenyewe ????

Kunufaika my arse!

Toka lini mteja akanufaika kumshinda mwenye biashara ????

DOWN WITH DANGOTE Inc.

DEATH TO DANGOTE Inc.
 
Mtoa mada una akili sana. Wanaokuponda ni matokeo ya kufuta JKT.

Kijeshi watu wanakaa kwa seniority kuanzua kulia. Angalia sherehe zote CDF anakaa kulia kwa IGP.

Samia ni Amiri jeshi hivyo lazima ajae kulia.

Wapo waliojitetea kwa kuleta picha za Magufuli kakaa kushoto.

Bado ni kosa bila kujali lilifanywa na Magufuli na sasa linarudiwa na Samia.

Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu?

Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali?

daah noma kweliView attachment 1796531
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…