Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
ukishuka sana utaenda hadi kijiji.Kjiji chenye mafuta kitakataa mafuta kuwa mali ya Jimbo kutakuwa na mtifuano wa kufa mtu kati ya kijiji na jimbo na huwezi sema ohh nitakopa niweke rehani nipate pesa za jimbo wana kijiji watakuua kuwa kwenda zako huko pia kwaweza kuweko uharamia usiodhibitika kama ilivyo nigeria ukipata muda angalia hii documentary ya habari ya ukweli ya Nigeria kuhusiana na mafuta yaoKero za waznz ndio kero ya kila kanda hapa nchini. Kuna haja ya kuanzishwa chama kit aka hoping an is kuwepo kwa muungano wa serikali 10 za kikanda badala ya serikali mbili au tatu za muungano
Na bado, wanataka kurejeshewa kiti chao umoja wa mataifa! CCM itajuta kufahamu Maalim Sefu!Shime wazanzibari chukueni majembe sasa mkachimbe mafuta na gesi yenu.Sio Jambo la muungano tena
Yan Zanzibar wanazidi kuwa wajinga, wanajadiliana na Serikali ya Tanzania badala ya Tanganyika?Kwa muhtasari, hoja hizo ambazo hii leo zinasainiwa katika hati ya makubaliano katika kuziondoa katika zile hoja ambazo tayari zimeshapatiwa ufumbuzi ni pamoja na ushirikishwaji wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwenye masuala ya kikanda na kimataifa.
Hoja nyingine iliyopatiwa ufumbuzi ni ushiriki wa Zanzibar katika jumuiya ya Afrika Mashariki. Hoja ya tatu ni gharama za kushusha mizigo bandari ya Dar es Salaam kwa mizigo inayotoka Zanzibar.
Hoja ya nne ni utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia. Hoja ya namna ya kugawana mapato ya rasilimali ya mafuta na gesi asilia yatakapopatikana. Maelezo yanatolewa na Balozi Joseph Sokoine ambae ni naibu katibu ofisi ya makamu wa Rais, Muungano na mazingira.
Balozi Sokoine: Ufumbuzi; Serikali zetu baada ya kujadiliana ziliamua kumtumia mshauri muelekezi, OPEC ya Uingereza ili atoe ushauri wa kitaalam kuhusu mgawanyo wa rasilimali ya aina hiyo kwa nchi za muungano. Kampuni ya OPEC ilikamilisha kazi hiyo na kuwasilisha mapendekezo kwa SMT na SMZ. Hata hivyo hoja nyingine ilijitokeza kwamba suala la mafuta na gesi asilia liondoshwe katika orodha ya mambo ya Muungano.
Baada ya majadiliano pande zote mbili zilikubaliana kuondoa masuala ya utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia katika orodha ya mambo ya Muungano hivyo sheria ya mafuta namba 21 ya mwaka 2015 mamlaka ya kuanzisha vyombo vya kusimamia mafuta na gesi asilia kwa kutumia sheria ya Zanzibar.
Hoja ya tano ni utaratibu wa kikao vya kamati ya pamoja ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kushughulikia masuala ya Muungano.
========
Kinachojadiliwa ni kero za muungano kwenye mambo ya muungano sio za Tanganyika au za Zanzibar!!! huelewi?.Umeona hapo wanajadili kero za nchi moja moja? Hapo ni kamati ya mambo ya muunganoYan Zanzibar wanazidi kuwa wajinga, wanajadiliana na Serikali ya Tanzania badala ya Tanganyika?
Chama cha Mbowe hakina hoja ya Serikali mbili. Hivyo sishangai, ukitapika hapa badala ya kula malimao. Hakuna Tanzania bila Zanzibar na tanganyika. Hoja hii Moja tu, haiipi uhalali saccos ya Mbowe anywhere kudhani kwamba ipo siku watatinga magogoni au chamwino. Mtaishia kunawa tu, kula nendeni kwa Amsterdam. Oct 28, watanzania watalishangaza hili genge la wahuni wa saccos. Mungu ibariki CCM, Mungu mbariki JPM.Saa mbaya utumbo huo hauna nafasi kwa sasa,watajijua wenyewe hapa kazi au sio ? Tunamwondosha adui CCM hayo mambo si muhimu kama watu wanaheshimiana ,nchi inakuwepo katika umoja amani na utendaji wa haki na ufuatwaji wa sheria.
Kama hayo hayapo hizo geresha hazina mashiko wakae nazo tu kwenye madroo.
Adui CCM amebakia na kura za wizi tu ndizo atakazopata ,wananchi wote hapo mwanzo ilikuwa walio wengi, lakini sasa wananchi wote walioserikalini na kwengine kote wametia nia kuiondoa CCM wanasema liwalo na liwe,adui nambari one Tanzania.
CCM nuksi na wanatia fitna baina ya waTanzania ,inafikia waTanzania wanachukiana raia anamchukia polisi ,polisi anamchukia raia hivyo hivyo kwa vyombo vingine vya serikali vikiwemo vya ulinzi na usalama,CCM wabaya sana ni chama kimekuwa kibaya sana na imewabidi wakiweke pembeni,watu hawafahamiani kwa ajili ya upandikizaji wa chuki,ccm wanapandikiza chuki hata baina ya ndugu na ndugu.
Yaani mnaamua CCM peke yenu halafu mnasena ati muungano wa hiari, mngekuwa mnafanya haki mnakusanya yote kikatiba na kuitisha referendum. Mnanajisi katiba.Kwa muhtasari, hoja hizo ambazo hii leo zinasainiwa katika hati ya makubaliano katika kuziondoa katika zile hoja ambazo tayari zimeshapatiwa ufumbuzi ni pamoja na ushirikishwaji wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwenye masuala ya kikanda na kimataifa.
Hoja nyingine iliyopatiwa ufumbuzi ni ushiriki wa Zanzibar katika jumuiya ya Afrika Mashariki. Hoja ya tatu ni gharama za kushusha mizigo bandari ya Dar es Salaam kwa mizigo inayotoka Zanzibar.
Hoja ya nne ni utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia. Hoja ya namna ya kugawana mapato ya rasilimali ya mafuta na gesi asilia yatakapopatikana. Maelezo yanatolewa na Balozi Joseph Sokoine ambae ni naibu katibu ofisi ya makamu wa Rais, Muungano na mazingira.
Balozi Sokoine: Ufumbuzi; Serikali zetu baada ya kujadiliana ziliamua kumtumia mshauri muelekezi, OPEC ya Uingereza ili atoe ushauri wa kitaalam kuhusu mgawanyo wa rasilimali ya aina hiyo kwa nchi za muungano. Kampuni ya OPEC ilikamilisha kazi hiyo na kuwasilisha mapendekezo kwa SMT na SMZ. Hata hivyo hoja nyingine ilijitokeza kwamba suala la mafuta na gesi asilia liondoshwe katika orodha ya mambo ya Muungano.
Baada ya majadiliano pande zote mbili zilikubaliana kuondoa masuala ya utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia katika orodha ya mambo ya Muungano hivyo sheria ya mafuta namba 21 ya mwaka 2015 mamlaka ya kuanzisha vyombo vya kusimamia mafuta na gesi asilia kwa kutumia sheria ya Zanzibar.
Hoja ya tano ni utaratibu wa kikao vya kamati ya pamoja ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kushughulikia masuala ya Muungano.
========
Ndivyo katiba inavyosema?Mafuta na gesi sio jambo la muungano tena.Kila upande ukijigundulia mafuta yake na gesi yake ni mali yake binafsi kila upande wa muungano