Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Ndivyo katiba ya uvamizi inavyosema??Shime wazanzibari chukueni majembe sasa mkachimbe mafuta na gesi yenu.Sio Jambo la muungano tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo katiba ya uvamizi inavyosema??Shime wazanzibari chukueni majembe sasa mkachimbe mafuta na gesi yenu.Sio Jambo la muungano tena
Hatimaye mmeanza kutekeleza sera ya majimbo ya CDM kabla hata uchaguzi.......As light as feather!Kinachojadiliwa ni kero za muungano kwenye mambo ya muungano sio za Tanganyika au za Zanzibar!!! huelewi?.Umeona hapo wanajadili kero za nchi moja moja? Hapo ni kamati ya mambo ya muungano
Point.Kichekesho zaidi ni Zanzibar inajadiliana na Tanzania!
Namuona makamu sasa anahutubia
Unamaanisha, watu milioni 29 walioandikishwa katika daftari la wapiga kura wote ni CCM?
Hivi akili zingine ziliumbwa na nani?
Au CCM inawaumbia akili zilizojaa ujinga?
Aiseeee hasa kwa Jiwe, Chakubanga na BashiruSi walisema mambo ya muungano yaliishia kwenye ule mchanga so hatuwezi yatenganisha wamewezaje hawa watu.
Hizi ni porojo ila tuseme wote kwa pamoja ccmm wameshikwa pabaya wakitingishika tuu inazama
Makamu msaga sumu au?Namuona makamu sasa anahutubia
Hivi sisi huku bara gas yetu tunachimba wenyewe au ni hao mnaowaita mabeberu ndo wanachimba na kuuza. Najua utabisha ila kaka Bujibuji atakufafanulia hapa manake mie niko Songosongo huku naona ni wale mnaowaita mabeberu wako bizee huku lau ningemuona Polepole ningeelewa kuwa sasa gas inachimbwa na wazalendo.Shime wazanzibari chukueni majembe sasa mkachimbe mafuta na gesi yenu.Sio Jambo la muungano tena
ukishuka sana utaenda hadi kijiji.Kjiji chenye mafuta kitakataa mafuta kuwa mali ya Jimbo kutakuwa na mtifuano wa kufa mtu kati ya kijiji na jimbo na huwezi sema ohh nitakopa niweke rehani nipate pesa za jimbo wana kijiji watakuua kuwa kwenda zako huko pia kwaweza kuweko uharamia usiodhibitika kama ilivyo nigeria ukipata muda angalia hii documentary ya habari ya ukweli ya Nigeria kuhusiana na mafuta yao
Hapo umenena Mkuu. Akili ndogo au matapeli wa kisiasa hawaoni au wanatufanya wajingaUtaratibu wa sasa wa serikali ni kuwa kunapopatikana rasili Mali za madini kama gesi, mafuta, dhahabu asilimia 3% ya pato linarudishwa kwa halmashauri husika.
Tanzania ni nchi kubwa sana. Mfumo wa serikali kuu ambapo mtu mmoja tu ambae ndie rais aweze kuwahudumia RAIA zaidi mil 60. Ni lazima maeneo jamii za maeneo mengine yatasahaulika tu.
Mfumo wa State kama huu wa tz ambapo imeamua kuwa na state moja, unapaswa upanuliwe na kuwa na serikali 10 za majimbo na sio serikali tatu kama wengi wanavyotamani.
Kwani hakuna nchi moja duniani yenye marais 2. Ukweli ni kuwa kule znz wanachagua gavana. Hata kama ataitwa Rais.
Sasa kama tutaogopa kijiji kudai uhalali wa kumuliki rasilimali zinazoyoka kijiji husika kwanini Leo serikali ya Tanganyika na ile ya znz zimetia saini kukubali rasilimali ya znz isimamiwe na serikali ya znz pekee?!?!?
Kuhamasisha si kigezoWakati serikali inahamasisha watu waende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mpaka ipatikane katiba Mpya Chakushangaza baada ya matokeo kutangazwa watasema wameibiwa kura.