Ikulu: Kikao cha kusaini hati za kuondoa hoja tano za Muungano zilizotatuliwa. Sasa rasmi mafuta na gesi kila mtu kivyake

Ikulu: Kikao cha kusaini hati za kuondoa hoja tano za Muungano zilizotatuliwa. Sasa rasmi mafuta na gesi kila mtu kivyake

Kinachojadiliwa ni kero za muungano kwenye mambo ya muungano sio za Tanganyika au za Zanzibar!!! huelewi?.Umeona hapo wanajadili kero za nchi moja moja? Hapo ni kamati ya mambo ya muungano
Hatimaye mmeanza kutekeleza sera ya majimbo ya CDM kabla hata uchaguzi.......As light as feather!
 
Suala la kulipia ushuru Mara mbili kwa kweli ni pasua kichwa.
Yaani Zanzibar ulipie ukifika dar ulipie Tena.
HII SIO SAWAA.
maana hii ni nchi moja.
 
Rais Magufuli anafanya juu chini kuondosha zinazoitwa kero za muungano
 
Kwa nini huu Uchafu (muungano) usifutwe?

Naamini katika serkali moja.
Tuunganishe vyote, mpaka Rais awe mmoja tu, ama tugawane kila kitu, kila mtu awe na nchi yake yenye maamuzi kamili.

Lasivyo kelele za muungano hazitakuja ziishe.
 
Shime wazanzibari chukueni majembe sasa mkachimbe mafuta na gesi yenu.Sio Jambo la muungano tena
Hivi sisi huku bara gas yetu tunachimba wenyewe au ni hao mnaowaita mabeberu ndo wanachimba na kuuza. Najua utabisha ila kaka Bujibuji atakufafanulia hapa manake mie niko Songosongo huku naona ni wale mnaowaita mabeberu wako bizee huku lau ningemuona Polepole ningeelewa kuwa sasa gas inachimbwa na wazalendo.
 
Hata mkitanya maigizo, Sharif Hamadi ameshasema hakuna nafasi tena
CCM mmekosa mbinu za kisasa hadi mnatumia mbinu za kale

CC
Hizo shule za kata ni mwiba kwa sasa,wajinga wamepungua sana.
 
ukishuka sana utaenda hadi kijiji.Kjiji chenye mafuta kitakataa mafuta kuwa mali ya Jimbo kutakuwa na mtifuano wa kufa mtu kati ya kijiji na jimbo na huwezi sema ohh nitakopa niweke rehani nipate pesa za jimbo wana kijiji watakuua kuwa kwenda zako huko pia kwaweza kuweko uharamia usiodhibitika kama ilivyo nigeria ukipata muda angalia hii documentary ya habari ya ukweli ya Nigeria kuhusiana na mafuta yao

Utaratibu wa sasa wa serikali ni kuwa kunapopatikana rasili Mali za madini kama gesi, mafuta, dhahabu asilimia 3% ya pato linarudishwa kwa halmashauri husika.

Tanzania ni nchi kubwa sana. Mfumo wa serikali kuu ambapo mtu mmoja tu ambae ndie rais aweze kuwahudumia RAIA zaidi mil 60. Ni lazima maeneo jamii za maeneo mengine yatasahaulika tu.

Mfumo wa State kama huu wa tz ambapo imeamua kuwa na state moja, unapaswa upanuliwe na kuwa na serikali 10 za majimbo na sio serikali tatu kama wengi wanavyotamani.

Kwani hakuna nchi moja duniani yenye marais 2. Ukweli ni kuwa kule znz wanachagua gavana. Hata kama ataitwa Rais.

Sasa kama tutaogopa kijiji kudai uhalali wa kumuliki rasilimali zinazoyoka kijiji husika kwanini Leo serikali ya Tanganyika na ile ya znz zimetia saini kukubali rasilimali ya znz isimamiwe na serikali ya znz pekee?!?!?
 
Hapo umenena Mkuu. Akili ndogo au matapeli wa kisiasa hawaoni au wanatufanya wajinga
 
Wakati serikali inahamasisha watu waende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mpaka ipatikane katiba Mpya Chakushangaza baada ya matokeo kutangazwa watasema wameibiwa kura.
Kuhamasisha si kigezo
Kigezo ni ushawishi
Nyerere mwenyewe ccm mlimgeuka ili kwenye azimio la arusha japo aliwalea na kuwafunza na kuwahamasisha

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Baadaye tutasaini vyombo vya usalama kila mtu ajitegemee na kulipa mishahara yake, bila katiba Mambo yote ni ubatili na kulijilisha upepo.
 
Back
Top Bottom