Ikulu: Kikao cha kusaini hati za kuondoa hoja tano za Muungano zilizotatuliwa. Sasa rasmi mafuta na gesi kila mtu kivyake

Ikulu: Kikao cha kusaini hati za kuondoa hoja tano za Muungano zilizotatuliwa. Sasa rasmi mafuta na gesi kila mtu kivyake

Kero za Wazanzibari ndio kero ya kila kanda hapa nchini. Kuna haja ya kuanzishwa chama kit aka hoping an is kuwepo kwa muungano wa serikali 10 za kikanda badala ya serikali mbili au tatu za muungano
 
Kero za waznz ndio kero ya kila kanda hapa nchini. Kuna haja ya kuanzishwa chama kit aka hoping an is kuwepo kwa muungano wa serikali 10 za kikanda badala ya serikali mbili au tatu za muungano
ukishuka sana utaenda hadi kijiji.Kjiji chenye mafuta kitakataa mafuta kuwa mali ya Jimbo kutakuwa na mtifuano wa kufa mtu kati ya kijiji na jimbo na huwezi sema ohh nitakopa niweke rehani nipate pesa za jimbo wana kijiji watakuua kuwa kwenda zako huko pia kwaweza kuweko uharamia usiodhibitika kama ilivyo nigeria ukipata muda angalia hii documentary ya habari ya ukweli ya Nigeria kuhusiana na mafuta yao

Kwa muhtasari, hoja hizo ambazo hii leo zinasainiwa katika hati ya makubaliano katika kuziondoa katika zile hoja ambazo tayari zimeshapatiwa ufumbuzi ni pamoja na ushirikishwaji wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwenye masuala ya kikanda na kimataifa.

Hoja nyingine iliyopatiwa ufumbuzi ni ushiriki wa Zanzibar katika jumuiya ya Afrika Mashariki. Hoja ya tatu ni gharama za kushusha mizigo bandari ya Dar es Salaam kwa mizigo inayotoka Zanzibar.

Hoja ya nne ni utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia. Hoja ya namna ya kugawana mapato ya rasilimali ya mafuta na gesi asilia yatakapopatikana. Maelezo yanatolewa na Balozi Joseph Sokoine ambae ni naibu katibu ofisi ya makamu wa Rais, Muungano na mazingira.

Balozi Sokoine: Ufumbuzi; Serikali zetu baada ya kujadiliana ziliamua kumtumia mshauri muelekezi, OPEC ya Uingereza ili atoe ushauri wa kitaalam kuhusu mgawanyo wa rasilimali ya aina hiyo kwa nchi za muungano. Kampuni ya OPEC ilikamilisha kazi hiyo na kuwasilisha mapendekezo kwa SMT na SMZ. Hata hivyo hoja nyingine ilijitokeza kwamba suala la mafuta na gesi asilia liondoshwe katika orodha ya mambo ya Muungano.

Baada ya majadiliano pande zote mbili zilikubaliana kuondoa masuala ya utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia katika orodha ya mambo ya Muungano hivyo sheria ya mafuta namba 21 ya mwaka 2015 mamlaka ya kuanzisha vyombo vya kusimamia mafuta na gesi asilia kwa kutumia sheria ya Zanzibar.

Hoja ya tano ni utaratibu wa kikao vya kamati ya pamoja ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kushughulikia masuala ya Muungano.
========

Yan Zanzibar wanazidi kuwa wajinga, wanajadiliana na Serikali ya Tanzania badala ya Tanganyika?
 
Du! Mbona maajabu sasa, kinachoongoza nchi nikatiba na siyo kusainiana karatasi hizo karatasi mtu anakuruka futi 1000 huku umetumbua macho labda wangesema wanabadili katiba tena hasa katiba ya Tanzania bara ingeelewa.
 
Yan Zanzibar wanazidi kuwa wajinga, wanajadiliana na Serikali ya Tanzania badala ya Tanganyika?
Kinachojadiliwa ni kero za muungano kwenye mambo ya muungano sio za Tanganyika au za Zanzibar!!! huelewi?.Umeona hapo wanajadili kero za nchi moja moja? Hapo ni kamati ya mambo ya muungano
 
Kwangu Mimi kero kubwa kwenye huu muungano Ni Kuanzishwa
Kuuliwa kwa Serikali ya Tanganyika.
Serikali hii irudishwe
 
Saa mbaya utumbo huo hauna nafasi kwa sasa,watajijua wenyewe hapa kazi au sio ? Tunamwondosha adui CCM hayo mambo si muhimu kama watu wanaheshimiana ,nchi inakuwepo katika umoja amani na utendaji wa haki na ufuatwaji wa sheria.
Kama hayo hayapo hizo geresha hazina mashiko wakae nazo tu kwenye madroo.

Adui CCM amebakia na kura za wizi tu ndizo atakazopata ,wananchi wote hapo mwanzo ilikuwa walio wengi, lakini sasa wananchi wote walioserikalini na kwengine kote wametia nia kuiondoa CCM wanasema liwalo na liwe,adui nambari one Tanzania.

CCM nuksi na wanatia fitna baina ya waTanzania ,inafikia waTanzania wanachukiana raia anamchukia polisi ,polisi anamchukia raia hivyo hivyo kwa vyombo vingine vya serikali vikiwemo vya ulinzi na usalama,CCM wabaya sana ni chama kimekuwa kibaya sana na imewabidi wakiweke pembeni,watu hawafahamiani kwa ajili ya upandikizaji wa chuki,ccm wanapandikiza chuki hata baina ya ndugu na ndugu.
Chama cha Mbowe hakina hoja ya Serikali mbili. Hivyo sishangai, ukitapika hapa badala ya kula malimao. Hakuna Tanzania bila Zanzibar na tanganyika. Hoja hii Moja tu, haiipi uhalali saccos ya Mbowe anywhere kudhani kwamba ipo siku watatinga magogoni au chamwino. Mtaishia kunawa tu, kula nendeni kwa Amsterdam. Oct 28, watanzania watalishangaza hili genge la wahuni wa saccos. Mungu ibariki CCM, Mungu mbariki JPM.
 
Kwa muhtasari, hoja hizo ambazo hii leo zinasainiwa katika hati ya makubaliano katika kuziondoa katika zile hoja ambazo tayari zimeshapatiwa ufumbuzi ni pamoja na ushirikishwaji wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwenye masuala ya kikanda na kimataifa.

Hoja nyingine iliyopatiwa ufumbuzi ni ushiriki wa Zanzibar katika jumuiya ya Afrika Mashariki. Hoja ya tatu ni gharama za kushusha mizigo bandari ya Dar es Salaam kwa mizigo inayotoka Zanzibar.

Hoja ya nne ni utafutaji na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia. Hoja ya namna ya kugawana mapato ya rasilimali ya mafuta na gesi asilia yatakapopatikana. Maelezo yanatolewa na Balozi Joseph Sokoine ambae ni naibu katibu ofisi ya makamu wa Rais, Muungano na mazingira.

Balozi Sokoine: Ufumbuzi; Serikali zetu baada ya kujadiliana ziliamua kumtumia mshauri muelekezi, OPEC ya Uingereza ili atoe ushauri wa kitaalam kuhusu mgawanyo wa rasilimali ya aina hiyo kwa nchi za muungano. Kampuni ya OPEC ilikamilisha kazi hiyo na kuwasilisha mapendekezo kwa SMT na SMZ. Hata hivyo hoja nyingine ilijitokeza kwamba suala la mafuta na gesi asilia liondoshwe katika orodha ya mambo ya Muungano.

Baada ya majadiliano pande zote mbili zilikubaliana kuondoa masuala ya utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi asilia katika orodha ya mambo ya Muungano hivyo sheria ya mafuta namba 21 ya mwaka 2015 mamlaka ya kuanzisha vyombo vya kusimamia mafuta na gesi asilia kwa kutumia sheria ya Zanzibar.

Hoja ya tano ni utaratibu wa kikao vya kamati ya pamoja ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kushughulikia masuala ya Muungano.
========

Yaani mnaamua CCM peke yenu halafu mnasena ati muungano wa hiari, mngekuwa mnafanya haki mnakusanya yote kikatiba na kuitisha referendum. Mnanajisi katiba.
 
..janja tu hii ya maccm...yameshinkwa pabaya mno zenj....yanakumbuka shuka zimebaki wk 2 uchaguzi ..yalikuwa wapi miaka yote??....alafu mafuta na raslimali zingine za asili kama utalii na madini ni vitu vya muungano na vipo kwenye katiba....wanadanganya umma hawa....wabadilishe katiba kwanza........na ijulikane....
 
Hatudanganyiki CCM ni mabingwa wa kutengeneza tatizo halafu kuja kulitatua kwa mbwembwe

Walipoka Mamlaka ya Zanzibar kwenye Gesi asilia na mafuta sasa wanajinya kuyarudisha kwa mbwembwe
 
Haaa haaa just haaa haaa..!
CCM ya Magufuli imekataliwa Tanganyika na Zanzibar. Duniani na Mbinguni.

CCM Iliojifia na kushindwa kabisa kabisa kwa miaka 59, haina tena uwezo huo ndani ya wiki moja kwenda Uchaguzi mkuu.

CCM hovyo sana, mnatuona watanzania ni wajinga na watumwa wenu.

#NIYEYE Rais ni Lissu awamu ya6.
 
Mbona mi naona Zanzibar wananufaika na Muungano kuliko bara ila hawautaki? Bara ndio kuna rasilimali nyingi wao hawana.

Kwahiyo tukishare wao ndio wanafaidika. Saasa kila mtu akijitegemea lini Zanzibar kutakuwa na gesi?

Wakipandishiwa gharama za kushusha bandarin DSM watakaokula hasara ni wafanyabiashara wao wanaouza bara.

Wao cha kujivunia ni utalii tu na haupo kwenye hizo hoja tano.
 
Back
Top Bottom