IKULU mawasiliano inahitaji data analyst and propagandist, sio mwanahabari otherwise Rais atabadili sana. Mchukueni David Kafulila

Mimi nakuambia ukweli,kama hutaki siwezi kukulazimisha. Hili mlilolifanya mmemualibia sana badala ya kumjenga. Angalia hata comments za wadau. Wakati mwingine chawa mnaharibu badala ya kujenga
Kaa kimya wewe na ujinga wako. Sisi wananchi tunaouona na kufahamu uwezo alionao Mheshimiwa Kafulila ndio maana tunamuunga mkono mleta hoja . Mheshimiwa Kafulila ni jembe kwelikweli
 
Kwanza nikutoe hofu tu kuwa hakuna sehemu nimeandika kuwa mimi ni BAVICHA. Pili sijamwandikia Rais hiyo comment bali wewe ambaye ni chawa wake ambaye badala ya kumsaidia mmemvua nguo
 
Kafulila sawa
 
Siasa na ugali. Kafulila huyu aliwahi tufanya tuandamane kuipinga CCM hii hii anayoipamba kwa mapambio leo. 😁
 
Huyu bwana ni data analyst mzuri naamini IKULU itakuwa na hoja nzito nzito.
 
Huyu anafaa kugombea Urais 2025. Maana naona huyu ndo ana akili katika wote waliopo. Ana data ana soma na kama ulivyosema na mchumi. Ni bora agombee urais.
 
Kafulila sawa kabisa nakubali
 
Huyu anafaa kugombea Urais 2025. Maana naona huyu ndo ana akili katika wote waliopo. Ana data ana soma na kama ulivyosema na mchumi. Ni bora agombee urais.
2025 Rais ni mmoja tu Mama Samia Suluhu Hassan.

Kafulila hana ndoto ya Urais ataomba ridhaa Kigoma Kask kuwa mbunge wao,
Tutarajie spana tu kwa wapinzani Bungeni.
 
2025 Rais ni mmoja tu Mama Samia Suluhu Hassan.

Kafulila hana ndoto ya Urais ataomba ridhaa Kigoma Kask kuwa mbunge wao,
Tutarajie spana tu kwa wapinzani Bungeni.
Kwa sifa ulizo mpa anafaa maana kwa sasa ni changamoto sana. KAFULILA AGOMBEE URAIS 2025
 
hata Mimi naona akiwa ni Kafulila anaweza kufanya hiyo watu wa Kigoma kwa maneno ni hatari
 
Tatizo la hii nchi ukiwa tu na confidence yakusimamia na kusema uongo unaonekana kichwa na ukiwa unafanya kazi professional na kusema ukweli basi Huna akili na msaliti,kifupi wajinga wengi ndio wana nafasi zakimaamuzi na ndio wanaliumiza taifa ndio mana Leo ukichukua mtaalamu nguli Prof au Dr ukimpa tu teuzi basi anapoapa tubpale na akili ndio anakabidhi sasa hatuwezi jenga taifa la watu waongo nakuchukia wanaosema ukweli hatuwezi kuwa na watu wanaopenda kusifiwa tu kwakuamini wako sahihi always "cognitive bias" inasumbua wengi
 
Kafulila wa ukawa kijana wa NSSR MAGEUZI apewe kazi ya kumsemea rais? Unadhani CCM ni wasenge kiasi hicho?
Kama JPM (MSUKUMA) ALIWEZA MNUNUA KAFULILA HUYU AKIWA MSEMAJI SI NDO ATANUNULIWA HADI NA WAARABU? WAZUNGU ? AU UNAFIKIRI CCM WALIKUWA WANAPENDA TABIA ZA JPM ZA KUNUNUA UPINZANI?
 
🤣🤣🤣 Sisi tunaoandika hapa ndio CCM wenyewe na wewe unayebisha ni CHADEMA Sasa wapi na wapi hapo???
 
Mkuu hayo ni mawazo yangu tu kulingana na mienendo yake ya sasa, Amekuwa mtu anaitetea sana Serikali,

Kutoka hapa napata ujasiri wa kusema Kafulila anaweza haya.
Upo sahihi kabisa kuwa Mheshimiwa Kafulila anaweza imudu vyema sana nafasi hiyo ya ukurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ikulu. Tuendelee kumuombea kila lenye heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…