Another kenge masterSio kijana ana miaka mingapi?
Kafulila anao uwezo hata kama ni Mzee ila bado uwezo wake ni mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Another kenge masterSio kijana ana miaka mingapi?
Kafulila anao uwezo hata kama ni Mzee ila bado uwezo wake ni mkubwa
Mfano ukichukua sampo hapa JF, Umeona jinsi ambavyo watu hawamkubali au hao wengi wapo wapi?Acha ujinga wako hapa wewe vna uzushi wa kitoto tu. Unachopaswa kuelewa ni kuwa Mheshimiwa Kafulila anakubalika sana na watanzania wengi sana ndio maana unaona akiungwa mkono na watu wengi .
Sasa wewe BAVICHA unataka Rais aangalie comment zako?Nikuambia ukweli kuwa Kafulila katumia njia mbaya ya kuwatumia nyie machawa, kama kweli anaitaka hiyo nafasi angekaa kimya tu. Angalia comments za wadau na jiulize hata kama ungekuwa wewe ungemteua hiyo nafasi? Huoni kama mmemvua nguo bila kujua mkidhani mnamchawia.
Nadhani ni zaidi ya hayo huyo bwana anayo...Je, Kafulila anajua kuongea, na kuandika, Kiswahili, na Kiingereza, kwa ufasaha?
..Je, anaweza kuwasiliana kwa niaba ya Raisi, au kumsemea, kwa viwango vinavyokubalika?
..Hizo ndizo sifa kuu anazopaswa kuwa nazo muandishi wa habari wa Raisi / Ikulu.
..Waandishi wa habari wa Raisi ninaowakumbuka ni pamoja na Paul Sozigwa, Ben Mkapa, Sammy Mdee, Habib Halahala, Patrick Chokala, Godfrey Nkurlu, kuwataja baadhi yao.
..Tunapotafuta muandishi wa habari wa Raisi, tunapaswa kuchagua mtu ambaye kitaaluma, na kiuweledi, anaweza kutosha ktk " viatu " vya manguli waliotangulia ktk nafasi hiyo.
..Kwa maoni yangu ofisi ya muandishi wa habari wa Raisi / Ikulu imepwaya tangu kipindi cha Uraisi wa Kikwete.
Cc Nguruvi3, Kiranga
Na nyongeza , awe na 'thick skin' hata akitibuliwa. Ajue lugha za kidiplomasia katika uandishi ikiwemo ku predict hoja na maswali. Sifa nyingi alikuwa nazo 'Da Zu' , sina uhakika kama alizungukwa na watu sahihi...Je, Kafulila anajua kuongea, na kuandika, Kiswahili, na Kiingereza, kwa ufasaha?
..Je, anaweza kuwasiliana kwa niaba ya Raisi, au kumsemea, kwa viwango vinavyokubalika?
..Hizo ndizo sifa kuu anazopaswa kuwa nazo muandishi wa habari wa Raisi / Ikulu.
Hakika!..Waandishi wa habari wa Raisi ninaowakumbuka ni pamoja na Paul Sozigwa, Ben Mkapa, Sammy Mdee, Habib Halahala, Patrick Chokala, Godfrey Nkurlu, kuwataja baadhi yao.
..Tunapotafuta muandishi wa habari wa Raisi, tunapaswa kuchagua mtu ambaye kitaaluma, na kiuweledi, anaweza kutosha ktk " viatu " vya manguli waliotangulia ktk nafasi hiyo.
Kuanzia akina P. Kalaghe na wengine waliofuata , nafasi ikakosa mantiki iliyokusudiwa...Kwa maoni yangu ofisi ya muandishi wa habari wa Raisi / Ikulu imepwaya tangu kipindi cha Uraisi wa Kikwete.
Kafulila ni more than that,Na nyongeza , awe na 'thick skin' hata akitibuliwa. Ajue lugha za kidiplomasia katika uandishi ikiwemo ku predict hoja na maswali. Sifa nyingi alikuwa nazo 'Da Zu' , sina uhakika kama alizungukwa na watu sahihi.
Hakika!
Kuanzia akina P. Kalaghe na wengine waliofuata , nafasi ikakosa mantiki iliyokusudiwa.
Kuna kitu kinaitwa 'utangulizi wa kuwa mfano'' kwa malkia wanasema ''precedent''
Nyerere aliweka ''precedent' ya mambo mengi , waliofuata waliyatazama kama mfano.
Mathalani, kuwa kmwandishi wa Rais haikuwa suala dogo ndio maana orodha yako hapo juu imesheni nguli.
Kikwete alikuja akaweka viwango chini ''dilute' matokeo yake JPM na wengine wanafuata 'baseline' ya JK
Mkapa alilalamika kuhusu watumishi wa Umma kutokuwa 'vetted' aki react baada ya magufuli kufanya u-DC kama cheo cha mchezo tu cha kugawa kama njugu, Wakurugenzi ni wale walioshindwa kura za maoni.
Kuanzia hapo u-DC umepoteza maana kabisa
Kuhusu Kafulila, hana sifa nyingi.
Tunamfahamu, hana ngozi ngumu na ni mwepesi sana wa kuhamaki akiwa provoked.Kafulila ni more than that,
Hahitajiki mtu anayezungumza English na kiswahili, anahitajika mtu anayeweza ku communicate ideas, policy n.k. katika lugha hizo 'professionally'' kama nitakuwa nimemuelewa vizuri JokaKuuKuwa CEO wa PPP maana lugha ya kuwasiliana na wawekezaji ni English.
Kafulila ni mtu na kiongozi mtulivu na anayejuwa kujenga na kutetea hoja kwa hojaAmeshaacha kuropoka? Ile nafasi ni nyeti sana.
Wewe ni muongo sana. Kila mtu anafahamu namna Mh Kafulila alivyo mtulivu , mvumilivu hata anaposhambuliwa na alivyo na uwezo mkubwa wa kutetea hoja. Ndio maana hata ukienda ndani ya CHADEMA hakuna mwenye akili na uwezo kumfikia KafulilaTunamfahamu, hana ngozi ngumu na ni mwepesi sana wa kuhamaki akiwa provoked.
Kujieleza kwake ni ' fancy but not eloquent' . Pili , language command yake...
Tatu, ni public speaker siyo communicator
Acha kutaja taja majina humuHuyu ni chawa msaidizi wa Lucas
Kaa kimya wewe na ujinga wako. Sisi wananchi tunaouona na kufahamu uwezo alionao Mheshimiwa Kafulila ndio maana tunamuunga mkono mleta hoja . Mheshimiwa Kafulila ni jembe kwelikweliNikuambia ukweli kuwa Kafulila katumia njia mbaya ya kuwatumia nyie machawa, kama kweli anaitaka hiyo nafasi angekaa kimya tu. Angalia comments za wadau na jiulize hata kama ungekuwa wewe ungemteua hiyo nafasi? Huoni kama mmemvua nguo bila kujua mkidhani mnamchawia.
Mtu hawi muongo kwa kutoa maoni yake, hata wewe umetoa yako na hilo halikufanyi uwe mwongo.Wewe ni muongo sana. Kila mtu anafahamu namna Mh Kafulila alivyo mtulivu , mvumilivu hata anaposhambuliwa na alivyo na uwezo mkubwa wa kutetea hoja. Ndio maana hata ukienda ndani ya CHADEMA hakuna mwenye akili na uwezo kumfikia Kafulila
Naunga mkono kuwa Mheshimiwa Kafulila anauwezo wa kuwasilisha jambo kwa lugha ambayo itaeleweka vyema kwa watu pasipo kuleta taharuki wala maswali zaidi. Anao uwezo wa kutetea hoja kwa hoja na akaeleweka vyema. Kwa sasa ni mkurugenzi wa PPP na anafanya vizuri kwa kuwasiliana na kufanya mazungumzo na wageni mbalimbali hivyo. na hivyo naamini nafasi hii ya ukurugenzi wa mawasiliano ya Rais ikulu anaweza kuitendea haki sanaKafulila ni more than that,
Mkuu hayo ni mawazo yangu tu kulingana na mienendo yake ya sasa, Amekuwa mtu anaitetea sana Serikali,Mtu hawi muongo kwa kutoa maoni yake, hata wewe umetoa yako na hilo halikufanyi uwe mwongo.
Topic ni Kafulila. Tunamjua kuanzia Bungeni, narudia tena na tena anazungumza '' fancy but not eloquent'
Ni public speaker lakini siyo communicator. Command yake ya lugha katika mawasiliano ina shaka
Kama mnamtupia taulo ni hakuna ubaya, lakini haibadili ukweli
Tatizo liko wapi?Kwani muda wote huo ni viongozi gan walikua wanaongoza Simiyu? Si wa Chama chako hiki au
sio level zako hizi maada,Utaumwa kichwa.Tatizo liko wapi?
Kafulila ni mtu Sahihi ila kule PPP pia ni muhimu zaidiView attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.
Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.
Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.
Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,
Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.
Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.
Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.
Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.
Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa
Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.
Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.