IKULU mawasiliano inahitaji data analyst and propagandist, sio mwanahabari otherwise Rais atabadili sana. Mchukueni David Kafulila

Wewe huna unalolijua.Ninamjua vizuri tokea huyu Kafulila akiwa Chadema akaja hamia NCCR akataka Fukuzwa akamlilia machozi Mbatia.
Naona chuki binafsi ndio inayokusumbua. Huna hata aibu unavyosema akaenda kumlilia Mbatia. Mheshimiwa Kafulila ni wa kumlilia Mbatia? Kwa taarifa yako ni kuwa Mheshimiwa Kafulila ni jembe ambalo kila chama kingependa kuwa na watu aina yake ndani yake.
 
Ikulu hawajafanya teuzi bado
Au ndiyo vetting inayofanyika
Si mchezo

Ova
 
View attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.

Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.

Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.

Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.

Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,

Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.

Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.

Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.

Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.

Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa

Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.

Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.

Wewe una uhusiano gani na Kafulila? Sema tu ukweli.
 
KAFULILA ni sawaa
 
Huyu kila siku ni kujipigia promo tuuuu. Hivi hana kazi ya kufanya?
 
Naona chuki binafsi ndio inayokusumbua. Huna hata aibu unavyosema akaenda kumlilia Mbatia. Mheshimiwa Kafulila ni wa kumlilia Mbatia? Kwa taarifa yako ni kuwa Mheshimiwa Kafulila ni jembe ambalo kila chama kingependa kuwa na watu aina yake ndani yake.
Chuki ni mbaya sana hata hivyo
 
View attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.

Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.

Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.

Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.

Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,

Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.

Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.

Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.

Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.

Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa

Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.

Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.

Kafulila ni sawa ataweza
 
Back
Top Bottom