Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Kafulila ni sawa nakubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatufaa sanaHata wewe naona unajipiga promo ila Kafulila anatufaa sana

Acha ujinga wewe.Kwanini wewe usiteuliwe? ni kwamba UWT hamtaki?
Jibu swaliAcha ujinga wewe.
Hakuna swali la kujibuJibu swali
Kepi?Haka katoto ka binti ka MC kametoka wapi? Mbona kana mazoea sana?
Wewe kijana kwani?Kwanza Kafulila sio kijana na pia sio data analyst, na pia ikulu inahitaji mtaalamu wa mawasiliano na sio wanapropaganda.
Anafaa sanaKafulila ni sawa kabisa
Acha maneno manenoAnafaa sana
Huo ndio ukweli wenyewe kuwa Kafulila ni jembe kwelikweliAcha maneno maneno
Acha maza aendelee kuteua marehema sababu ndani ya CCM ni kusanyiko la majitu majinga tupuHakuna swali la kujibu
Ondoa utoto wako hapaAcha maza aendelee kuteua marehema sababu ndani ya CCM ni kusanyiko la majitu majinga tupu
Mbona huteuliwi sasa kutwa unasifia upumbavu wako hapaOndoa utoto wako hapa
Hili jamaa jembe sanaView attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.
Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.
Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.
Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,
Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.
Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.
Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.
Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.
Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa
Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.
Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.
Atafanya sana huyu bwana mdogoView attachment 3010881