johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio Tabia za Tumbiri kuamini wamejificha juu ya mti 😃😃Mkuu mbona anatukanwa Kafulila unafura. Na bado unadai sio wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Tabia za Tumbiri kuamini wamejificha juu ya mti 😃😃Mkuu mbona anatukanwa Kafulila unafura. Na bado unadai sio wewe
Na ni mtu mtulivu sana.Yes Mkuu Kafulila anahoja sana, ni mtu critical sana
Ikulu inataka mtu wa hoja zaidi anakula akina LISSU hawa wotePia ifahamike kuwa kasoma BBA jambo linalompatia ufahamu wa masuala mbalimbali ya kiuchumi, fedha,biashara na mengine mengi sana. Hapo itakuwa ni sawa na kupiga ndege wawili kwa jiwe moja.
KabisaTumbiri una tamaa zilizopitiliza 🐼
wana ccm mda wote wanajua ni uchaguzi wa kuiba kura.kweli umempa za usoKwanza Kafulila sio kijana na pia sio data analyst, na pia ikulu inahitaji mtaalamu wa mawasiliano na sio wanapropaganda.
If that is what we need then Gilead Teri hana mpinzaniView attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.
Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.
Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.
Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,
Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.
Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.
Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.
Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.
Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa
Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.
Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.
Lisu huyu ambaye hata vyombo vya habaribkama radio ,TV na magazeti hawatoi hata hotuba zake anazohutubia mikutano mbalimbali sababu hawaoni hoja ya maana kaongeaIkulu inataka mtu wa hoja zaidi anakula akina LISSU hawa wote
Unajipigia sana promoMkuu Mimi sina ata time ya kutaka Uteuzi, Ila Mimi naona Kafulila anafaa sana .
Wewe ni yeye na Luka ni chawa wako mnalipanaYes Mkuu Kafulila anahoja sana, ni mtu critical sana
Shida yako unajona(ga) una akili kuzidi kila mtu.View attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.
Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.
Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.
Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,
Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.
Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.
Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.
Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.
Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa
Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.
Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.
Kafulila unajitahidi Sana kujipigia debe. Urithiki na ulicho nacho.View attachment 3010881

Namcheka johnthebaptist tuko nae hapa miaka yote eti hanijuiMkuu mbona anatukanwa Kafulila unafura. Na bado unadai sio wewe
Unajipigia debe mwenyewe siyo.View attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.
Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.
Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.
Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,
Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.
Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.
Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.
Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.
Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa
Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.
Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.
Mimi sio Kafulila wewe jadili hoja acha maneno manenoKafulila unajitahidi Sana kujipigia debe. Urithiki na ulicho nacho.
Kafulila unajiharibia Sana. Kila saa unajipigia promo humu. Tulia utateuliwa tu.Mkuu Mimi sina ata time ya kutaka Uteuzi, Ila Mimi naona Kafulila anafaa sana .
Kafulila anafa sana nakuliView attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.
Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.
Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.
Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,
Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.
Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.
Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.
Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.
Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa
Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.
Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.
Acha kutaja taja majina ya watu bila sababu ya msingi. Ukiambiwa uthibitishe utaweza?Kafulila unajiharibia Sana. Kila saa unajipigia promo humu. Tulia utateuliwa tu.