IKULU mawasiliano inahitaji data analyst and propagandist, sio mwanahabari otherwise Rais atabadili sana. Mchukueni David Kafulila

Kafulila unajiharibia Sana. Kila saa unajipigia promo humu. Tulia utateuliwa tu.
Mkuu ogopa Mungu Mimi sio Kafulila na Sina contact yoyote ya Kafulila but ni mtu muhimu sana kulisaidia Taifa
 
View attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.

Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.

Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.

Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.

Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,

Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.

Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.

Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.

Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.

Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa

Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.

Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.

CHADEMA WANAMGWAYA SANA KAFULILA KAMA ATAKUWA MSEMAJI, 🤣🤣🤣
 
Naunga mkono asilimia Mia moja.kiukweli Mheshimiwa Kafulila anaweza kuitendea haki sana hiyo nafasi na kuleta taswira mpyaaaa ambayo ikawa kivutio kwa watanzania ndani na nje ya Tanzania. Dunia nzima inaweza ikaifahamu vyema sana Tanzania.na watanzania wanaweza muda wote wakawa Bize kufuatilia na kujuwa kila kitu kinachoendelea Nchini na kumhusu Mheshimiwa Rais.
Isijekuwa wewe ndiye tumbili mwenyewe. Mkuu vile swala la marehemu kupewa teuzi na wewe kuachwa?
 
View attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.

Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.

Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.

Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.

Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,

Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.

Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.

Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.

Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.

Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa

Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.

Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.

Kafulila VEMA
 
Kafulila naunga hoja,wakishindwa wanichukue hata Mimi ,lazima mtu anaweza kujenga hoja na mwenye ujuzi wa mambo mengi ndio itakuwa rahisi kukabiliana na wazushi hasa wa Chadema.

Wana habari wengi wao hawana jipya ,kama sio huyo yupo Deogratius Balile nae anaweza kiasi mambo hayo.
 
Tatizo lililopo,Rais ni Ke ni ngumu kuwa na Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu ambaye ni Me.
 
Kafulila naunga hoja,walishindwa wanichukue hata Mimi ,lazima mtu anaweza kujenga hoja na mwenye ujuzi wa mambo mengi ndio itakuwa rahisi kukabiliana na wazushi hasa wa Chadema.

Wana habari wengi wao hawana jipya ,kama sio hiyo yupo Deogratius Balile nae anaweza kiasi mambo hayo.
CHADEMA wakisikia Kafulila Matumbo joto sana
 
Back
Top Bottom