IKULU mawasiliano inahitaji data analyst and propagandist, sio mwanahabari otherwise Rais atabadili sana. Mchukueni David Kafulila

Pia ifahamike kuwa kasoma BBA jambo linalompatia ufahamu wa masuala mbalimbali ya kiuchumi, fedha,biashara na mengine mengi sana. Hapo itakuwa ni sawa na kupiga ndege wawili kwa jiwe moja.
Ikulu inataka mtu wa hoja zaidi anakula akina LISSU hawa wote
 
If that is what we need then Gilead Teri hana mpinzani
 
Shida yako unajona(ga) una akili kuzidi kila mtu.
 
Kafulila unajitahidi Sana kujipigia debe. Urithiki na ulicho nacho.
 
Unajipigia debe mwenyewe siyo.
 
Kafulila anafa sana nakuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…