IKULU mawasiliano inahitaji data analyst and propagandist, sio mwanahabari otherwise Rais atabadili sana. Mchukueni David Kafulila

Pia ifahamike kuwa kasoma BBA jambo linalompatia ufahamu wa masuala mbalimbali ya kiuchumi, fedha,biashara na mengine mengi sana. Hapo itakuwa ni sawa na kupiga ndege wawili kwa jiwe moja.
Kwann isiwe wewe mkuu, we umesomea nn?!.
Ukipata shavu utabubujikwa na machozi ya furaha😁
 
Halafu chawa wake wapo kupandisha thread za zamani ili JF yote iwe Kafulila.
 
Unataka Msemaji wa Ikulu afanye kazi za Mshauri wa Kiuchumi, Kisheria, Kisiasa, n.k.
Tukubaliane tu kuwa kuna Maafisa wapo Ikulu si kwa sababu ya uwezo walio nao bali ni kwa sababu za u-CCM. Ndio maana kwenye mkeka wa jana utaona mshauri wa kiuchumi na mshauri wa kisiasa wote wamepewa thank you hapo Ikulu.
Ndio maana kuna professions, kila mmoja ajikite kwenye profession yake. Mimi sioni sababu ya Yunus kutolewa kwenye nafasi yake.
 
CHADEMA hawawezi kukubali
 
Acha kutaja taja majina ya watu bila sababu ya msingi. Ukiambiwa uthibitishe utaweza?
Jamaa utakuwa unaupiga mwingi sana,kulia chawa wa Bashite kushoto chawa wa 2mbili. Kama hutojali na mimi dili la uchawa maana hali si hali huku
 
Kafulila mtu safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…