IKULU mawasiliano inahitaji data analyst and propagandist, sio mwanahabari otherwise Rais atabadili sana. Mchukueni David Kafulila

Acha ujinga wako hapa wewe vna uzushi wa kitoto tu. Unachopaswa kuelewa ni kuwa Mheshimiwa Kafulila anakubalika sana na watanzania wengi sana ndio maana unaona akiungwa mkono na watu wengi .
Mfano ukichukua sampo hapa JF, Umeona jinsi ambavyo watu hawamkubali au hao wengi wapo wapi?
 
Innocent Mungi anaweza kufit kwenye hii nafasi
 
Sasa wewe BAVICHA unataka Rais aangalie comment zako?

Kwani Rais hamjui Kafulila?

Mimi nimetoa hoja tena kama mwanaCCM ninayetamani yafanyike maboresho pale mawasiliano IKULU.

HAYA SIO MAWAZO YA KAFULILA,
HAYA NI MAWAZO YANGU CM 1774858

KAMA NIMEKOSEA KUMTAJA BASI NI MIMI SIO KAFULILA.

ILA BADO NAAMINI HATA WEWE UNAJUA KAFULILA NDIO MWENYEWE.

====
 
Nadhani ni zaidi ya hayo huyo bwana anayo.

Kuwa CEO wa PPP maana lugha ya kuwasiliana na wawekezaji ni English.

Ndio maana nasisitiza huyu bwana atafanya sana.
 
Na nyongeza , awe na 'thick skin' hata akitibuliwa. Ajue lugha za kidiplomasia katika uandishi ikiwemo ku predict hoja na maswali. Sifa nyingi alikuwa nazo 'Da Zu' , sina uhakika kama alizungukwa na watu sahihi.
Hakika!
..Kwa maoni yangu ofisi ya muandishi wa habari wa Raisi / Ikulu imepwaya tangu kipindi cha Uraisi wa Kikwete.
Kuanzia akina P. Kalaghe na wengine waliofuata , nafasi ikakosa mantiki iliyokusudiwa.
Kuna kitu kinaitwa 'utangulizi wa kuwa mfano'' kwa malkia wanasema ''precedent''

Nyerere aliweka ''precedent' ya mambo mengi , waliofuata waliyatazama kama mfano.
Mathalani, kuwa kmwandishi wa Rais haikuwa suala dogo ndio maana orodha yako hapo juu imesheni nguli.

Kikwete alikuja akaweka viwango chini ''dilute' matokeo yake JPM na wengine wanafuata 'baseline' ya JK

Mkapa alilalamika kuhusu watumishi wa Umma kutokuwa 'vetted' aki react baada ya magufuli kufanya u-DC kama cheo cha mchezo tu cha kugawa kama njugu, Wakurugenzi ni wale walioshindwa kura za maoni.
Kuanzia hapo u-DC umepoteza maana kabisa

Kuhusu Kafulila, hana sifa nyingi.
 
Kafulila ni more than that,
 
Kafulila ni more than that,
Tunamfahamu, hana ngozi ngumu na ni mwepesi sana wa kuhamaki akiwa provoked.
Kujieleza kwake ni ' fancy but not eloquent' . Pili , language command yake...
Tatu, ni public speaker siyo communicator
 
Kuwa CEO wa PPP maana lugha ya kuwasiliana na wawekezaji ni English.
Hahitajiki mtu anayezungumza English na kiswahili, anahitajika mtu anayeweza ku communicate ideas, policy n.k. katika lugha hizo 'professionally'' kama nitakuwa nimemuelewa vizuri JokaKuu
 
Tunamfahamu, hana ngozi ngumu na ni mwepesi sana wa kuhamaki akiwa provoked.
Kujieleza kwake ni ' fancy but not eloquent' . Pili , language command yake...
Tatu, ni public speaker siyo communicator
Wewe ni muongo sana. Kila mtu anafahamu namna Mh Kafulila alivyo mtulivu , mvumilivu hata anaposhambuliwa na alivyo na uwezo mkubwa wa kutetea hoja. Ndio maana hata ukienda ndani ya CHADEMA hakuna mwenye akili na uwezo kumfikia Kafulila
 
Kaa kimya wewe na ujinga wako. Sisi wananchi tunaouona na kufahamu uwezo alionao Mheshimiwa Kafulila ndio maana tunamuunga mkono mleta hoja . Mheshimiwa Kafulila ni jembe kwelikweli
 
Wewe ni muongo sana. Kila mtu anafahamu namna Mh Kafulila alivyo mtulivu , mvumilivu hata anaposhambuliwa na alivyo na uwezo mkubwa wa kutetea hoja. Ndio maana hata ukienda ndani ya CHADEMA hakuna mwenye akili na uwezo kumfikia Kafulila
Mtu hawi muongo kwa kutoa maoni yake, hata wewe umetoa yako na hilo halikufanyi uwe mwongo.

Topic ni Kafulila. Tunamjua kuanzia Bungeni, narudia tena na tena anazungumza '' fancy but not eloquent'
Ni public speaker lakini siyo communicator. Command yake ya lugha katika mawasiliano ina shaka

Kama mnamtupia taulo ni hakuna ubaya, lakini haibadili ukweli
 
Kafulila ni more than that,
Naunga mkono kuwa Mheshimiwa Kafulila anauwezo wa kuwasilisha jambo kwa lugha ambayo itaeleweka vyema kwa watu pasipo kuleta taharuki wala maswali zaidi. Anao uwezo wa kutetea hoja kwa hoja na akaeleweka vyema. Kwa sasa ni mkurugenzi wa PPP na anafanya vizuri kwa kuwasiliana na kufanya mazungumzo na wageni mbalimbali hivyo. na hivyo naamini nafasi hii ya ukurugenzi wa mawasiliano ya Rais ikulu anaweza kuitendea haki sana
 
Mkuu hayo ni mawazo yangu tu kulingana na mienendo yake ya sasa, Amekuwa mtu anaitetea sana Serikali,

Kutoka hapa napata ujasiri wa kusema Kafulila anaweza haya.
 
Kwani muda wote huo ni viongozi gan walikua wanaongoza Simiyu? Si wa Chama chako hiki au
 
Kafulila ni mtu Sahihi ila kule PPP pia ni muhimu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…