IKULU mawasiliano inahitaji data analyst and propagandist, sio mwanahabari otherwise Rais atabadili sana. Mchukueni David Kafulila

View attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.

Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.

Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.

Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.

Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,

Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.

Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.

Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.

Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.

Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa

Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.

Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.

Yakiwashinda mpeni Ahmedy Aly wa Simba😂
 
Na kutoa taarifa rasmi kwa lugha zote kuu rasmi za kiserikali yaani Kiswahili na kwa English kwa mdomo pia maandishi ili upotoshwaji usipate nafasi ndani ya nchi na hata nje ya mipaka yetu.
 
View attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.

Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.

Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.

Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.

Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,

Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.

Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.

Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.

Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.

Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa

Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.

Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.

Hivi unajua kuwa kafulilia alidisco udsm. Sasa hiyo capacity ya kuanalyse mambo anaitoa wapi. Hana analytical power na ndo mana alidisco na pia alipeperusha bendera ya hesabu A level. Alikuwa anasoma BBA pale udsm akakamatwa kila course ya hesabu. Na mwanafalsafa mmoja aliwahi kusem kwamba if you excell in class you are likely to excell in so many things.
 
Acha uongo na uzushi wako wewe. Ungeonekana una akili kama ungeweka ushahidi.lakini kwa kuwa unajuwa ni uongo ndio maana umeishia kupiga porojo tu hapa.
 
View attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.

Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.

Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.

Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.

Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,

Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.

Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.

Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.

Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.

Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa

Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.

Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.

Binafsi Kafulila nadhani kama sifa zingine anazo basi kwangu anafaa
 
Kwanza Kafulila sio kijana na pia sio data analyst, na pia ikulu inahitaji mtaalamu wa mawasiliano na sio wanapropaganda.
Sio kijana ana miaka mingapi?
Kafulila anao uwezo hata kama ni Mzee ila bado uwezo wake ni mkubwa
 
View attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.

Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.

Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.

Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.

Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,

Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.

Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.

Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.

Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.

Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa

Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.

Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.

Naunga mkono hoja
 
Zile ID zako nyingine 5 sizioni hapa zikija kukusifia!

Nimeona moja tu!

Ujinga mtupu!
 
Back
Top Bottom