IKULU mkianzisha Wizara ya Gender, basi mpeni Ndalichako, ateuliwe Mtu Mwamba kwenye Elimu.

Kweli watz mmechoka. Hamtakinkabisa kutoa mawazo.
 
Bahati mbaya karibu wote hao uliowataja kuwa walikuwa wasomi mahiri, wamehusika kuingia mikataba ya kimangungo, Kama huyo Prof.mwandosya Hadi unajiuliza huo usomi ni kwa ajili gani ikiwa mikataba tu wanashindwa
 
Bahati mbaya karibu wote hao uliowataja kuwa walikuwa wasomi mahiri, wamehusika kuingia mikataba ya kimangungo, Kama huyo Prof.mwandosya Hadi unajiuliza huo usomi ni kwa ajili gani ikiwa mikataba tu wanashindwa
Nimesema Mbelwa Kairuki anaweza kufit kwa nionavyo sasa. Mbona kama vile watu smart na wenye commitment nchi hii hawaonekani kabisa. Ukijaribu kutafakari, huwaoni hata ukifumba macho. Kuna mahali tulikosea. Kama vile watu wengi wameamua kuficha vipaji.
Hata marais wajao hawaonekani kabisa.
Tuwe makini sana katika kujenga watu potential kwa Taifa kwa siku zijazo.
 
Your browser is not able to display this video.

Huyu mama uprofesa wake sijui aliupata kwa lugha gani maana kiingereza kinampa shida kweli kweli.

Hakika anapwaya mno kwenye nafasi yake.
 
Tunahitaji watu ambao ni reformists kwenye elimu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji2959][emoji2959][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Waziri na Katibu Mkuu wake.

Intellince Service nao watafakari na kushauri hili jambo.
 
Wamtoe mwigulu mchemba fedha wampeleke elimu
 
Wamtoe mwigulu mchemba fedha wampeleke elimu
 
Utaona vipi vipaji ikiwa kigezo cha watu kushika madaraka ni kuangalia ubini wao,,, utaskia “Mzee xxx ambaye ndio babaake na huyu bwana alikipigania sana chama enzi zile hatuwezi kulisahau hilo” mara paaka kijana wake anapewa uwaziri!

Bila huu ujinga wa kuwekana madarakani kwa fadhila hatutasogea kama taifa sababu trend itaenda vile vile akina Jakaya wakishaondoka maana walioachiwa chama kizazi chao kitaendelea kuwaweka watoto wao tu! Si upumbavu huu!
 
Maajabu umutoe mchapakazi uweke Mulamula?
Msoga gang bado mna kinyongo na Ndalichako alipogomea div.5.
Muondoeni tu muwekeni Redhiwani.
 
Nchi hii kuna kichwa kimoja tu kinachofanya kazi kwa kujiamini. Prof Asad, wengine ni kunguni tu
 
Profesa Kapuya nampendekeza kwenye hiyo wizara ya jinsia.🙄😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…