IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muonekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.

Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.
Hapa anaonekana alikuwa na wasi wasi sana.
 
Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muonekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.

Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.
Upo serious mkuu? Yani picha aliyopigia disco ndio iwe official?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…