IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Kila La Heri
Honourable Madame President Samia Suluhu Hassan.
 
Magufuli ndio basi tena. Haya makelele ya shujaa hayatadumu hata nusu mwaka. Anasauhulika kama wanampenda sana wangemuacha aendelee kutawala kama malaika.
Chief, hayo makelele hayafiki ata mwezi....nakuhakikishia baada ya ijumaa hii kumzika, na zile sku za maombolezo kuisha basi habar za jiwe ndo hivo tena
 
Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muonekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.

Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.
Hii nguo ya sherehe
Sio ya Ofisini
 
Watengeneze nyengine haraka atoe hiyo rangi ya mdomo.Watakaomuona wasianze kummezea mate badala ya kumheshimu
Sio mbaya picha kuimezea mate au wew ulitaka kwenye picha afanane Bi kidude.Picha nzuri ni ile kila mtu akiona anaitamani na kuipenda muda wote
 
Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muonekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.

Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.
Hii ni nzuri lakini ina watu wengine na vinywaji mbele yake.
 
Basi leta yakwako basi ,wenzako wameleta picha official kwa matumizi ya kiofisi,wewe unaleta ujuaji wa kijinga. Mmezoea kupinga kila kitu tu, na hamna lolote mnalolijua.
Ndo unitukane sasa.
Nitakusema kwa moderator
 
New era,ni muda sasa hayati Magufuli apumzishwe kwenye nyumba yake ya milele.maisha lazima yaendelee. Kuzunguka naye huku na huko si afya kwa wanafamalia. Tumuenzi kwa vitendo. Alibana matumizi ili kufanya maendeleo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uzalendo umekushinda mkuu
Kwa kweli uzalendo kushneh si kwa jicho kungu la Madame President 😋
 
Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muonekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.

Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.
Hii ilikuwa super sana.Ya lini hii?
 
Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muonekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.

Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.
Nan, ataweka hiz karolight ukutan kwenye offce yake
 
Kweli aisee. Hata mimi nimeipenda hii.
Hii ametokelezea pia anaonekana mtekemteke na anavutia. Ofsini kwangu nitaiweka hii.

Hiyo ya Ikulu inamuonekano wa kiukongwe sana.
Mambo ya mtekemteke na kuvutia! Weka picha ya mchepuko ndugu yangu [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom