Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mapungufu kwa mpiga picha sijui ni nani, kakosea kwenye background kuna mwanga na hijab pia inaakishi mwanga,mpiga picha alitakiwa apunguze mwanga na pia angepunguza kidogo exposure ili nguo ionekana nyeusi kiasi pia angemwambia Mh raisi asogee mbele kidogo asiwe karibu na kitambaa cha nyuma(background) na mwisho uchaguzi wa background rangi ya blue si nzuri ama angeweka nyeupe ingefaa zaidi na pia angemwelekeza mh raisi asikae upande(nyuzi 45) bali awe amekaa sawa na kamera asingekaa upande.Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
Ile marehemu kule mwanzo kuna waliosema ina leta gundu na visirani maofisi sasa hii sijajua watasema ina niniPicha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
Uko sahihi.Kuna mapungufu kwa mpiga picha sijui ni nani, kakosea kwenye background kuna mwanga na hijab pia inaakishi mwanga,mpiga picha alitakiwa apunguze mwanga na pia angepunguza kidogo exposure ili nguo ionekana nyeusi kiasi pia angemwambia Mh raisi asogee mbele kidogo asiwe karibu na kitambaa cha nyuma(background) na mwisho uchaguzi wa background rangi ya blue si nzuri ama angeweka nyeupe ingefaa zaidi na pia angemwelekeza mh raisi asikae upande(nyuzi 45) bali awe amekaa sawa na kamera asingekaa upande.
Labda ofisi ya MboweIle marehemu kule mwanzo kuna waliosema ina leta gundu na visirani maofisi sasa hii sijajua watasema ina nini
Sent using Jamii Forums mobile app
AminaPicha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
Ohoo shauri yako ukimwinywa kende Usitafute mchawi 😁Usinipangie Shehe acha nisuuze roho yangu
Kweli na memo kidogo yanakuwa yanaonekana. Picha zote angalia kuanzia awamu ya kwanza mpaka ya huyo Marehemu zina mfanano. Hii labda ni maalum kwa Rais mwanamke!!!Hiyo picha rasmi Ina kasoro kwani mhedhima amekaa upande , picha rasmi huwa zinaonyesha kwa ufasaha mabega yote na masikio yote , waliofika nchi za watu , abroad wanajua picha rasmi lazima ionyeshe masikio yote mawili kwa ufasaha ni sio upande , anyway picha ni nzuri .
Kumbe tumeliona wengi!Mungu ampe maarifa Rais wetu na ajifunze kuwa msikivu. Ila ana jicho huyu Mama [emoji39]
hata aliyelala jenezani sasa alikuwa na visingizio kibao dhidi ya barakoa. corona ikamtia adabuBarakoa si chochote....
Virusi vinaingilia machoni pia!!
Asubuhi njema mkuu.Ndo unifokee kiasi hicho
Magufuli ndio basi tena. Haya makelele ya shujaa hayatadumu hata nusu mwaka. Anasauhulika kama wanampenda sana wangemuacha aendelee kutawala kama malaika.
Awamu ya sitaIla Masudi kipanya kampatia sana kumchora kama kikatuni
Hivi ni Rais wa awamu ya ngapi?