Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana sasa hakuna namna, viongozi mnaowategemea ndo hao watema mashudu tu kule twitter.Ungeni tu behewa.Hata sisi tunao ichukia CCM tunakuombea mungu akuongoze Madame President.
Avae barakoa, Mungu hawezi kutunza mtu aliyempa maarifa na nyenzo na hazitumii.
Mbona kama mpiga picha hakukaa horizontal maana picha inaonekana kama imezidi upande mmoja?Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
Mungu asipokutunza pamoja na hayo maarifa yako unaweza ukafa na hiyo afya yako, ukaawacha waliolalia vitanda hospitalini. Acheni kumpangia Mungu kazi ya kufanya.Avae barakoa, Mungu hawezi kutunza mtu aliyempa maarifa na nyenzo na hazitumii.
Wameangalia COLOR CODING ya ushungi
Watengeneze nyengine haraka atoe hiyo rangi ya mdomo.Watakaomuona wasianze kummezea mate badala ya kumheshimu
Basi leta yakwako basi ,wenzako wameleta picha official kwa matumizi ya kiofisi,wewe unaleta ujuaji wa kijinga. Mmezoea kupinga kila kitu tu, na hamna lolote mnalolijua.Leta Picha kipindi akiwa Rais.
Hiyo naona ni kipindi akiwa makamu wa rais
Mpaka leo siwaelewi watu wanaodhani kifo kinakwepeka kwa namna yeyote, jambo zuri ni kuwa the late alilitambua hilo na ndio maana alijitoa mhanga, mbele kwa mbele.Avae barakoa, Mungu hawezi kutunza mtu aliyempa maarifa na nyenzo na hazitumii.
Botox kiboko ya wrinklesNamuomba Muumba wa viumbe wote akupe umri mkubwa sana, tuione ngozi yako!
Ngiyabonga Nkulunkulu!!!
Wangetusikiliza sisi wananchi mapendekezo ya picha ya rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naamini maoni ya hapa JamiiForums yatapewa uzito unaostahili kuhusu picha rasmi za viongozi wa nchi.
Botox kiboko ya wrinkles
Kwa kosa gani?Whoever told you so anatakiwa awe behind prison bars kwa kitambo kirefu! Na zaidi!
Kwa kosa gani?