IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muenekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.


Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.
Si wangeichukua hiii? Au kapodoka sana
 
Kupitia ujumbe uliopostiwa na msemaji wa Ikulu Ndugu. Gerson msigwa kutoka Ikulu inaeleza kuwa hii ndio :-

Picha Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

bongofive_1640502487903837882422432418253670833341650n.jpg
 
Akiwa clerk/karani ,huko ndiko baba walikutana huko na mama yetu mpendwa jicho lamoto ,afadhari kwasasa atavaa miwani mwanzo mwisho ADC asipuuze hilo...unaweza jua anakupenda akikuangalia kumbe hapana
Hebu tuwekee hapa tumfananishe venye alivyokuwa
 
Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muenekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.


Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.
LOOoooh!

Sikujua kuwa kuna picha kama hizi!
Mazaa ana macho mazuri
Nilisha yaona siku nyingi, lakini imenibidi nikaangalie picha tena baada ya kukusoma hapa.
 

Mtu wa watu Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, kupitia kumbukumbu za picha mnato na picha-video anaonesha kwake yeye raia wote wa Tanzania ni sawa bila kujali itikadi zao, vyama vya siasa, jinsia, rangi , ukanda .

Shangwe zaibuka kwa Mama Samia



11 Jun 2018
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akinukuu baadhi ya aya kutoka kwenye Biblia Takatifu wakati wa Ibada ya Kuzindua Dayosisi ya Magharibi Kati na Kumuweka Wakfu na Kumuingiza kazini Askofu Mteule Mchungaji Dkt. Isaac Kissiri Laiser na kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Newton John Maganga katika Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Tabora
 
Halafu watu wanakuja hapa JF na kuandika awe ana"Look in the Eye" na macho hayo!

Are you kidding me!

Acha rais wetu achape kazi, hayo ya ku'look in the eye' hayana maana yoyote.

Akiku'look in the eye' huku anataka kukutumbua huku wewe ukitabasamu kwa ujaha wako, itakusaidia nini?
 
Hongera Mama.
Ila akili ulizoambiwa na mtangulizi wako, changanya na zako, Hivi vilio vya msiba visikudanganye!
 
Back
Top Bottom