IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Ngoja tufanye utaratibu wa kuinunua picha yake GPSA, hili ni takwa la lazima.

Mungu amtunze na kumlinda, najua nafasi yake ni nyeti sana hivyo lazima asimame kidete ukizingatia anatawala Tanzania ya Mfumo Dume tangu tumepata Uhuru 1961 👏👏💪💪💪
 
Mama kapaka ule wanja ninaotakaga kuuona machoni mwa hawa viumbe

kauibia ibia kwa mbaliiii,yani sura imetoka ile wanasema "short n clear",huyo ndio

Mama yangu,Rais wangu,Kiongozi wangu Namuamini mno,naamini hatoniangusha,Go Mumieee😘
 

Attachments

  • 20210323_152338.jpg
    20210323_152338.jpg
    55.9 KB · Views: 3
Mama Samia anazeeka na urembo wake.
Hongera Rais mama Samia mchapa kazi.
 
Kutokana na mambo ya mfumo dume uliokithiri inawezekana Madame President akaongoza kipindi kimoja pia.
Naona roho iliyokuwa inamkimbiza Magu mara2 kwa Huyu mama Samia SH! Magu hatasahaurika! Mama huyu Ndio tutambadirishia katiba aongoze kwa 20 years kutokana na spirit iliyokuwa ikimuonvoza Magufuli inayo'muongoza kiutendajj! Mungu amlinde,amuongoze, na ambariki rais wetu mpendwa Mh Mama Samia SH, na serikali yetu yote! Mungu azidi ibariki Tanzania, amen🙏🙏🙏!
 
Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muenekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.


Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.
Mama amedamshi balaa.
Pisi kali[emoji23]
 
Back
Top Bottom