IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

waTanzania waonesha uzalendo bila kujali vyama kwa kumpenda Rais Samia Suluhu Hassan.


Picha maktaba Septemba13,2020.

F87A0005-2.jpg

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Ndanda mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Madeko Wilayani Masasi Mkoani Mtwara leo Septemba 13,2020
 
Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muenekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.


Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.
Kweli aisee. Hata mimi nimeipenda hii.
Hii ametokelezea pia anaonekana mtekemteke na anavutia. Ofsini kwangu nitaiweka hii.

Hiyo ya Ikulu inamuonekano wa kiukongwe sana.
 
Bila Title atawezana?

Turudi enzi za Ndugu au Mama Samia kama apendavyo?
 
Tunakupenda sana mama ILA VAA BARAKOA corona sio kaugonjwa kadogo.

TUMECHOKA KUDANGANYA KUWA MAREHEMU KAFA KWA UGONJWA WA MOYO.
 
Magufuli ndio basi tena,haya makelele ya shujaa hayatadumu hata nusu mwaka. Anasauhulika kama wanampenda sana wangemuacha aendelee kutawala kama malaika
Hautaa uamini Magufuli kufutika ni ngumu Sana wanasiasa watamtumia Kama sehemu ya wao kujinadi.
 
Back
Top Bottom