IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Si wangeichukua hiii? Au kapodoka sana

Wangetusikiliza sisi wananchi mapendekezo ya picha ya rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Naamini maoni ya hapa JamiiForums yatapewa uzito unaostahili kuhusu picha rasmi za viongozi wa nchi.
 
Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muonekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.


Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.
Mimi pia naipenda hii. Safi sana. wangetoa tu hizi glass, madame atokelezee na hii picha. Wahusika tafadhali zingatieni hili
 
Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu


Huyu ndiye Rais wetu. Tunakuomba ukitoka tu kumpumzisha huyu wanayezurura naye barabarani na angani basi wasihi watanzania wote waliokimbia nchi yao warudi tujenge nchi yetu na wahakikishiwe usalama.
 
Nampa miezi sita tu Mungu akipenda ya kumpima kama anafaa kuwa rais wangu ama la, mpk sasa ni rais wangu, jiwe alikuwa rais wangu mwaka wa mwazno wa utawala wake from there nilimdelete kabisa.
 
Sasa huyu ndio Mama la Mama
Hongera sana Mheshimiwa Rais Samia Suluhu!
 
Back
Top Bottom