Si wangeichukua hiii? Au kapodoka sana
Wangetusikiliza sisi wananchi mapendekezo ya picha ya rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naamini maoni ya hapa JamiiForums yatapewa uzito unaostahili kuhusu picha rasmi za viongozi wa nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wangeichukua hiii? Au kapodoka sana
Mumewe Hafidh Ameir alijua Kuchagua.Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
Mimi pia naipenda hii. Safi sana. wangetoa tu hizi glass, madame atokelezee na hii picha. Wahusika tafadhali zingatieni hili
Amen Amen Amen!Mungu akutunze Madame President Samia Suluhu Hassan
Huyu ndiye Rais wetu. Tunakuomba ukitoka tu kumpumzisha huyu wanayezurura naye barabarani na angani basi wasihi watanzania wote waliokimbia nchi yao warudi tujenge nchi yetu na wahakikishiwe usalama.Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
Jicho, jichooooo! Mama umejaliwa. Hongera kwako, hongera kwa mwenyewe First gentlemanPicha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zakeMagufuli ndio basi tena,haya makelele ya shujaa hayatadumu hata nusu mwaka. Anasauhulika kama wanampenda sana wangemuacha aendelee kutawala kama malaika
Mama huyu huwa ananifurahisha, anasema najua kutunza familia, najua na kulea pia, najishughulisha na namlea haswa!!Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
Huyu mama ni mmakunduchiPicha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
Hahahahah nyara ya serikali.... ni hilo jicho tu ama kuna jengine?!Naruhusiwa kuiweka wallpaper kwa simu yangu?
Usinipangie Shehe acha nisuuze roho yanguBwashee tuondolee ujinga hapa, madam ni mke wa mtu mambo ya kulichunguza jicho lake utatuletea laana wabongo , ushindwe na ulegee
Huyu aliyesimama mbele yenu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye maumhile yake ni MWANAMKE.Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
Anae mwanaume wa shokaIvi ana mume??
Mfu weweWewe si mlamba matako ya wafu wewe?
Usimsarandie Samia wetu, hupati cheo!
Mkuu hapa si tunaongelea issue ya picha lakini?Avae barakoa, Mungu hawezi kutunza mtu aliyempa maarifa na nyenzo na hazitumii.