IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muonekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.

Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.

Na hizo glass za juice + mvinyo???
 
Watanzania tuna furaha sana kwa kumpata huyu mama mwenye huruma, upendo na akili safi.

Sio yule aliyetaka tuishi kama mashetwani
 
Avae barakoa, Mungu hawezi kutunza mtu aliyempa maarifa na nyenzo na hazitumii.
Mungu asipokutunza pamoja na hayo maarifa yako unaweza ukafa na hiyo afya yako, ukaawacha waliolalia vitanda hospitalini. Acheni kumpangia Mungu kazi ya kufanya.
 
Watengeneze nyengine haraka atoe hiyo rangi ya mdomo.Watakaomuona wasianze kummezea mate badala ya kumheshimu

Rangi kwenye mdomo inahusiana nini na uongozi wa Madam President Samia?!

Njaa zako sio muongozo wa nchi!
 
Mimi nilikuwa naombea ingependeza picha rasmi ingekuwa ya muonekano huu hapa chini, lakini naona wamependa hiyo nyingine.

Photo: H.E Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania.
Hii ndiyo yenyewe Wajameni
 
Avae barakoa, Mungu hawezi kutunza mtu aliyempa maarifa na nyenzo na hazitumii.
Mpaka leo siwaelewi watu wanaodhani kifo kinakwepeka kwa namna yeyote, jambo zuri ni kuwa the late alilitambua hilo na ndio maana alijitoa mhanga, mbele kwa mbele.

Historia inatufundisha kuwa wema hutangulia mapema, kina Malcolm X, Martin Luther King Jr, Bob Marley, Peter Tosh, B.I.G, 2Pac, Jesus Christ, Bluce Lee, Princess Diana, Alliyah, Ruge Mutahaba, Michael Jackson, Kobe Brant,Nipssey Hussle na wengineo. Kifo ni utimilifu wa mzunguko wa kila kiumbe, imagine mpaka wadudu hufa, sijui wao walitenda dhambi ipi kustahili hukumu hiyo.
 
Wangetusikiliza sisi wananchi mapendekezo ya picha ya rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Naamini maoni ya hapa JamiiForums yatapewa uzito unaostahili kuhusu picha rasmi za viongozi wa nchi.

Seriously Binaadam hatuna jema hata kiduchu!

So now a presidential portrait should pass through votes??

Muumba bado anatutizama!

Hasiye na Shukran si Muungwana!
 
Back
Top Bottom