IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Kwa hiyo anakuwa Katibu Mkuu wa Chama na Katibu Mkuu Kiongozi kwa wakati mmoja au anaacha kuwa katibu mkuu wa CCM?

Vipi kuhusu muongozo wa utumishi serikalini unaotenganisha mambo ya chama na utumishi wa umma serikalini?

Hata kama atajiuzulu Ukatibu Mkuu CCM, huu uteuzi unaonesha kwamba utumishi serikalini unaenda kupelekwa kichama chama zaidi.
 
Majukumu ya Katibu Mkuu Kiongozi

Kwa mujibu wa ibara ya 60 ya katiba, katibu Mkuu Kiongozi ni Kiongozi mkuu wa utumishi wa umma, mkuu wa makatibu wakuu wa wizara na katibu wa baraza la mawaziri.

Majukumu yake ni :
  1. Kumshauri Rais kuhusu masuala ya nidhamu na ajira za watumishi wa umma.
  2. Kufanyia kazi mapendekezo yanayoletwa kwake toka Tume za Umma, maelekezo ya Rais na Tume ya Utumishi serikalini.
  3. Kuratibu operation za TISS na PCCB.
  4. Kutimiza maelekezo mengine atakayoelekezwa na Rais.
  5. Kazi za Katibu Mkuu Kiongozi akiwa kama Katibu wa Baraza la Mawaziri ni pamoja na kutayarisha nyaraka za mikutano ya Baraza la Mawaziri, kuratibu na kusimamia mapendekezo ya Baraz la Mawaziri n.k

Balaa, chama kinashika hatamu sasa ya uongozi wa Taifa.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi amteua Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Pia Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi amemteua Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi.

Bofya hapa chini usome: orodha ya makatibu wakuu viongozi waliopita, uzoefu waliopitia na wasifu wao :
John Kijazi, Ombeni Sefue, Philemon Luhanjo, Marten C.Y Lumbanga, Paul M. Rupia, Timothy Apiyo, Dickson A. Nkembo, Joseph Namata, Dunstan Omari
kwa hisani kubwa source Home | Chief Secretary

Ambassador John William Herbert Kijazi
(07/03/2016 - February 2021)
Orodha ya majina ya waliohudumu kama Katibu Mkuu Kiongozi ktk serikali : bofya hapa chini:

Click for a list : Past Chief Secretaries source courtesy of Home | Chief Secretary


Chief Secretary Roles​


As Permanent Secretary of the President​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…