And everything is not permanent!!Power is not permanent
KUMBE ULIANZAGA ZAMAN UMBEA ?Kwi Kwi Kwi
unamaana gani sasa kusema uongo kwa faida ya nani?Thread kama hizi zikiibuliwa ni katika kutukumbusha uvunjaji mkubwa wa katiba kwa mwehu aliyejiita mtetezi wa wanyonge.
CCM bado hamna cha kujifunza msikwamishe upatikanaji katiba mpya?
Mwanzo mlichekelea kuwa anawayoosha wapinzani hadi alipowagusa ndio mkadeal naye..
Huu uteuzi haukuwa bahati mbaya bali ndio alikuwa anaanza rasmi ule mchakato wake ila ukaishia njiani.
Onyesha uongo upo wapi hapo.unamaana gani sasa kusema uongo kwa faida ya nani?
Thread kama hizi zikiibuliwa ni katika kutukumbusha uvunjaji mkubwa wa katiba kwa mwehu aliyejiita mtetezi wa wanyonge.
CCM bado hamna cha kujifunza msikwamishe upatikanaji katiba mpya?
Mwanzo mlichekelea kuwa anawayoosha wapinzani hadi alipowagusa ndio mkadeal naye..
Huu uteuzi haukuwa bahati mbaya bali ndio alikuwa anaanza rasmi ule mchakato wake ila ukaishia njiani.
Kusafiri kwenye treni jambo la kawaida na ni kwamba limechelewa tu miundombinu bora ni haki ya walipakodi.Tuko ndani ya SGR tunaelekea Morogoro sasa