On the sport? Ila umeeleweka mkuu kwasisi wakuryaThis is my president Tunashukuru sana kwa kutatua matatatizo on the Sport. Nchi hii ilichezewa sana sana Na wahuni
This is my president Tunashukuru sana kwa kutatua matatatizo on the Sport. Nchi hii ilichezewa sana sana Na wahuni
Kafanyaje?Akiwa kwenye gari kuelekea Dar es Salaam akitokea Kibiti Rais Magufuli ametengua Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kibiti
View attachment 1521715
Inachoshangaza, kila aingiaye husema nimekuta nchi ipo hoi, nimekuta hiki kipo hovyo, nimekuta wezi wengi...etc LAKINI HAKUNA ANAYESEMA HUO UHOVYO UMESABABISHWA NA NANI..!!!This is my president Tunashukuru sana kwa kutatua matatatizo on the Sport. Nchi hii ilichezewa sana sana Na wahuni
Wivu unapata faida gani akitenguliwa,wananchi wana majungu sanaUuuwiiii Uuuwiiii Uuuwiiii Huyoooo
Wazembee Haooo Haooo Haooo Pigaaaa chiniiiii